Mapato Simba Day vs Yanga Day

Mapato Simba Day vs Yanga Day

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
 
Attachments

  • IMG_20220809_165539.jpg
    IMG_20220809_165539.jpg
    26.6 KB · Views: 58
Jibu Ni kwamba Simba kiingilio nilikuwa nusu kwa kile Cha Yanga kwa mzunguko ambavyo ndiyo viti vingi uwanjani. Yanga walitarget kupata fedha wamefanikwa, Simba walitarget kujaza uwanja nap wamefanikwa. Kupanga Ni kuchagua. Kila timu ilikuwa na malengo yake.
 
unampa majizibu ya kumtesa zaidi na kumdhoofisha,sio poa kabisa Kalpana na wao ni watu sio wadudu msizidi kuwatesa[emoji375][emoji375]
Hapo jambo kubwa ni viingilio yanga kima cha chini 10000/ pia kima cha juu ilikuwa 300000/ lkn simba haikuwa hivo
 
Jibu Ni kwamba Simba kiingilio nilikuwa nusu kwa kile Cha Yanga kwa mzunguko ambavyo ndiyo viti vingi uwanjani. Yanga walitarget kupata fedha wamefanikwa, Simba walitarget kujaza uwanja nap wamefanikwa. Kupanga Ni kuchagua. Kila timu ilikuwa na malengo yake.
Hili ni jibu la shabiki siyo mshangiliaji. Asante kwa kuujua mpira.
 
Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo

Chief, samahani nikisema huna akili nitakuwa nimekosea?

Kabla ya kuweka hapa ungetafuta ile ya mwisho kabisa, mfano hiyo ya Yanga imechukuliwa siku tarehe 8/8 na Yanga Day ilikuwa tarehe 6. Tukija hiyo ya Simba imechukuliwa Tarehe 8/8 ila muda ni saa 10:44. Na huku Simba wametangaza kumaliza ticket zao saa 7 mchana.

Turudi kwenye suala la Msingi, tofauti ya Mapato kati ya Simba na Yanga ipo hilo hakuna ubishi ila ungeleta final.

[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Mmeona Simba kajaza uwanja, kashinda mechi mmeanza vituko vyenu kama kawaida source ya mapato Manara hata kitenge badala ya kuzungumzia Simba Day anakuja na hoja mbona Dilunga hajaagwa Kwa kifupi tumewazoea kama mapato mkataba wa m bet utafidia
 
Mapato hayatuhusu kikubwa watu wamejaa wamefurahi ndo maaana ya siku yao wajidai..hao.wengine labda wana madeni wanataka wayalipe.
Hayo mapato hanaonesha Simba iliingiza mashabiki chini ya 47,000

Japo Uwanja ulibeba watu 60000+
 
Mapato haya hayana uhalisia, kama Yanga uwanja ulionekana umejaa,
Simba imejaza kabisa

Je inakuwaje mapato hanaonesha kuna watu wameingia bila lipa maana kuna tofauti ya watu 14,000 kwa Simba
Yanga walioingia bure ni watu 18,000
 
Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
Ushindi na mafanikio ndio vilikuwa kipaumbele chetu kuliko mapato.. Leo wenye mapato makubwa hawana furaha kuliko wenye mapato madogo .. PESA SIO KILA KITU!
 
Back
Top Bottom