Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

3001942_SAMIA_KIJESHI.jpeg
 
Aliyegharamia hii filamu ni serikali ama mfadhili mbona mnakuwa hamueleweki??? Mara filamu imegharamiwa na mfadhili naona leo mmekuja kusema eti serikali imegharamia hii filamu kwa 100% embu tuelewesheni tushike lipi hapo??

Amazon inaweza kuwa imepelekwa na waliotengeneza filamu
Ndio maana tunataka utupe mkataba kati ya amazon na waliopeleka filamu pale amazon
Imepelekwa na Mamlaka za Tanzania mkuu, kuwa na amani
 
Nadhani kuleta siasa kwenye mambo serious ndio shida yake hii..., unadhani ukishaweka bei na kama kuna wateja kumi basi watano watanunua ? Huenda hata mmoja asinunue au ili ufanye siasa ukanunua mwenyewe ili tu kuleta views za uongo...

Kwa ufupi hizo ndio most profitable movies kutoka Amazon na hio ni gross income bado Amazon hajachukua chake, na hizo ni top 20 huenda movie yako isiwe hata top 100,000

Mpaka jana movie yetu inakimbiza sana, nenda kaangalie kule Amazon,
 
Ndio hizo huenda Mawaziri kila mmoja anarent kwa kila sekunde..., Wabongo ndio tabia zetu haujaona jamaa Views zao Youtube zinavyopeleka ?
 
Back
Top Bottom