Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viende tu kule "UP"
Umoja PartyViende tu kule "UP"
Amakwahakika Mama anatisha aise,
Zinalipa sanaHesabu za kilimo cha matikiti. Nice one!
Duuuh, Wewe ndio msemaji wao? 😅😅hao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
👍Waoooh😍😍😍
Ipo mkuu,Wazee mbona mi sijaikuta amazon
Kuliingizia Taifa mapato ndio lengo la filamuUmesema imegharamiwa na serikali ya Tanzania kwa 100% hapo hapo unasema imegharamiwa na wadau wa mandeleo.
Hii filamu haijatumia thumni ya serikali ya TZ kwa hiyo tusianze ujinga wa kujitapa.
Lengo la filamu lilikuwa nini? Tuanzie hapo kwanza
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani,
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu,
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni,
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka,
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000,
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000,
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka,
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka,
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni ,
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii,
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye,
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga,
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Wewe umatania, eti viewers 100 million, Seriously!! Hata ingekuwa Netflix kupata 100 million viewers in one year siyo rahisi .....!! Kwa akili yako kama hiyo moview ya Maza inaweza kuingiza hiyo pesa then Amazon kwa mwaka wanaingiza kiasi gani kwa maelfu ya movie walizonazo online!!? May next year urudi hapa kutupa marejesho tuone hata kama wamepata 100 K viewers ....!!Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani,
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu,
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni,
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka,
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000,
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000,
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka,
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka,
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni ,
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii,
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye,
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga,
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Bora hata wale jamaa wa parachichi, hawa hesabu ni zero kabisaHahaha katika watu wako 20 wanaokuzunguka kuna yoyote mwenye account ya Amazon?
Hao unaotegemea ww watanunua ni wakina Nani?
Kuna mtu gani maarufu kwenye hiyo movie?
Movie ngapi za Aina hiyo ww umewahi kununua online?
Sukuma gang ni washamba ,hawana uwezo wa kuvunja hoja kama hiyo.
Ngoja nitacheck tena. Tangu jana nikisearch amazon siioni.Ipo mkuu,