- Thread starter
- #61
OkNgoja nitacheck tena. Tangu jana nikisearch amazon siioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkNgoja nitacheck tena. Tangu jana nikisearch amazon siioni.
Mkuu Kama Taifa shida yetu ni mapato,Kama nia ni kutangaza utalii hiyo documentary wangefungua channel youtube waweke huko watu waangalie bure, tena wawalipe youtube ili iweze kuonekana kwa watu wengi, hizi story za kulipisha ndio haitaonekana kabisa na nia nzima ya kukuza utalii itakuwa useless
Wapi, elezeaHapa tushapigwa!
Ubunifu wenye akili,hiyo ni just the biggining..Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani,
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu,
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni,
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka,
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000,
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000,
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka,
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka,
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni ,
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii,
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye,
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga,
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Safi Sana,Samia anawaza ni namna gani Nchi itaingiza pesa, mwendazake alikuwa anawaza jinsi gani atawaziba watu pumzi na vinywa vyao hili akwapue,Iko hivi,

Kauza nani? Bado You tube lazima walipe mrahabaMshauza haki zote hivyo mapato yote hayawahusu
Sasa hiyo bahati ndio itakuja Tznhao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
Sio atashinda kwa 80%,bali kwa 100% kabisa,Samia Ni Rais muadilifu,sio Kama bwana yule mzalendo uchwara!Huyu Mama 2025 atashinda kwa zaidi ya 80% nawahakikishieni,
Mama Samia ni mtu wa mipango sana,
Mkuu naomba kukusalimu kwa jina la JMT,Kauza nani? Bado You tube lazima walipe mrahaba
😀😀😀😀Nchi yetu ni ya vyama vingiSio atashinda kwa 80%,bali kwa 100% kabisa,Samia Ni Rais muadilifu,sio Kama bwana yule mzalendo uchwara!
Wafuasi mazezeta wa maggufuli mna chuki na Nchi yenu,hameni Nchihao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
Kuna dalili za watu kuteseka sana aise 😀😀Wafuasi mazezeta wa maggufuli mna chuki na Nchi yenu,hameni Nchi
😁😁😁Umezinunua wewe?Mshauza haki zote hivyo mapato yote hayawahusu
Mapato??? hivi idea ya hii movie ni mapato kutokana na mauzo ya movie au kuitumia movie kutangaza utalii ili kujenga soko na mwisho wake kufanya mapato yaongezeke, naona wengi humu mmechanganyikiwa tuuMkuu Kama Taifa shida yetu ni mapato,
AMAZONI ni mtandao unaoaminika sana duniani ,
Kuipeleka YouTube ni kuishusha tu,
Huelewi unaonekana, hope washauri wake hawana akili kama yakoWafuasi mazezeta wa maggufuli mna chuki na Nchi yenu,hameni Nchi
Iko hivi,