Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

inahusu nini hii filamu na ni ya nani? kweli nipo mbali sana na hii dunia 😀
 
Iko hivi,

Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%

Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.

Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.

Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?

Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.

Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.

Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.

Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.

Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.

Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.

Hii ni sawa na kusema

Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.

Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.

Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.

Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.

Wenye masikio na wasikie haya,

View attachment 2195022

View attachment 2195105
Kwa hiyo amazon watafanya kazi ya bure kuuza na kukodisha and then mauzo yote achukue mwenye filamu?
Je mtengeneza filamu ana mkataba gani ana lipwa bei gani au % ngapi%. Hatuwezi kupata hiyo 1.5 trilion kamwe.

HAIWEZEKANI!!!!

Go extra miles uchimbe utuambie....;
Gharama za kutengenea hizo nakala 100ml za kuuza na kukodisha ni kiasi gasi
Gharama za amazon kusimamia uuzaji na ukodishwaji ni kiasi au asilimia ngapi,
Gharama za kodi na mengineyo ni kiasi gani,nk..
Balance tutakayo tutakayoambulia sisi ni bei gani!

Maana yake ni sawa na kusema mimi mtunzi wa kitabu nina vitabu vyangu nakala 1,000,000pcs( 1ml copies) vitauzwa duniani kote kwa bei ya 10000.. na kwamba natarajia kupata 10bilion!!!

Kumbe gharama ya kuchapa kila kitabu ni 3500/= kwa nakala mfano tu
Pili kusambazwa duniani kote kwenye maduka makubwa nitawauzia kwa bei ya jumla ya 5500. Na nitavisafirisha kwa mawakala wote duniani kwa 500.
Mpaka hapo gharam zangu ni
Kuchapa 3500
Kusafirisha 500
Jumla 4000
+18% VAT =990(18%×5500 or 0.18×5500=990)
Jula ya gharama pamoja na vat ni 4990
Mauzo ya jumla ni 5500 ukitoa 4990 ambazo ni jumla ya gharam zako unabaki na faida ya 510 kwa kila nakala
Mapato halisi yatakuwa 510 zidisha kwa zile nakala 1ml nitakazouza.. jumla yake ndio 510ml
(510/=×1,000,000 = 510,000,000/=)

Hivyo basi ktk biashara ya mauzo ya jumla ya bilioni 10 mimi zangu ni milioni 510 sawa na 5.1% ya thamani ya biashara tuuuuu...

Sasa..... Kule amazon kwa mabeberu wajanja janja kuliko wahindi wa filamu za bongo tutaambulia % ngapi?

Sasa nimeelewa kwa nini kina Wema Sepetu hawana magari pamoja na kuigiza filamu zote zile
Wenye kuelewa na wakumbuke haya.
 
Kama nimemwelewa mwandishi yeye kafanya makadirio ya kuikodi tu filamu,

Sasa chukua gharama ya kuinunua itumike kuwalipa AMAZONI
 
Hakuna hesabu kama hizo kibiashara
Tena kwa hawa madalali..!!!
Kikubwa.. lengo letu ni potential tourists waone potential tourist attractions available in the country..
Sisi ndio tunalipa kutangaza biashara yetu na sio kufanya biashara ya filamu. 1.5 trilion ni bajet ya wizara 2 ndogo.
Imagine zile 1.3 trillion za covid zimeonekana nchi nzima.. Halafu mtu anatuambia eti kuna 1.5t za filamu
Acheni udwanzi aisee
Ingekuwa hivo kila Rais wa nchi angefanya filamu apate hizo hela za burebure
 
Iko hivi,

Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%

Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.

Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.

Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?

Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.

Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.

Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.

Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.

Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.

Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.

Hii ni sawa na kusema

Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.

Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.

Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.

Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.

Wenye masikio na wasikie haya,

View attachment 2195022

View attachment 2195105
Tp bhna..yani kumbe makadilio..nilidhani gharama halisi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna hesabu kama hizo kibiashara
Tena kwa hawa madalali..!!!
Kikubwa.. lengo letu potential tourists waone potential tourist attractions available in the country..
Sisi ndio tunalipa kutangaza biashara yetu na sio kufanya biashara ya filamu
Tunamlipa nani?!
 
Kwani mmiliki nan
Director nani
Distributor nani
Mmiliki nani
Na hii ni filamu ya aina gani
Ni ya kuburudisha kibiashara/commercial...?
Au ya matangazo/marketing..?
Hii filamu ni multipurpose,

Kule AMAZON tunapiga mpunga,

Kule Serengeti na Ngorongoro tunapigapunga
 
Screenshot_20220422-071137.png

Screenshot_20220422-071722.png

Screenshot_20220422-081737.png

Screenshot_20220422-081844.png
 
Iko hivi,

Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%

Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.

Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.

Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?

Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.

Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.

Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.

Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.

Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.

Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.

Hii ni sawa na kusema

Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.

Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.

Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.

Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.

Wenye masikio na wasikie haya,

View attachment 2195022

View attachment 2195105
Mkuu weka na namba Yako ya Simu tukupe hata Ukuu wa Wilaya.
 
Huyu Mama 2025 atashinda kwa zaidi ya 80% nawahakikishieni,

Mama Samia ni mtu wa mipango sana,
Ni kweli,si unaona tozo kwenye miamala ya mitandao ya simu,Ongezeko la bei ya mafuta,nauli,mfumuko wa bei,n.k.Hakika huyu Mama ni mtu wa Mipango sana.
 
At least nimeona kuna faida kwenye mauzo maana bila ya hivyo watu waliishia kulaumu tuu, kumbe subira humvuta heri na sasa upepo ume change hatuulizi kwanini wametoa pesa kurecord Royal Tour bali the issue ni hiyo pesa ya mauzo inaenda wapi?

Kwa mlio shauri hili nawapongeza sana na kwa wale mliokuwa skeptical pia nawapongeza at last mmepata majibu ya skeptism yenu.
 
Back
Top Bottom