n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
NonsenseHakuna kama Rais Samia nasema siku zote hili,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NonsenseHakuna kama Rais Samia nasema siku zote hili,
how then?Nonsense
Siku mama akimaliza muda wake hapo 2030, napendekeza CEO wa Simba SC Barbra Gonzalez achukue kijiti.Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Yanga watataka awe Manara 😀😀Siku mama akimaliza muda wake hapo 2030, napendekeza CEO wa Simba SC Barbra Gonzalez achukue kijiti.
Tomboka malamu, mama anaitangaza dunia kwa akili ya Karne za mbeleIko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Watanzania wengi kwa mda mrefu tumekuwa tumekuwa na kilio cha mda mrefu kupa fulsa ya kufanya mauzo ebay na amazon na kwa taratibu za nchi yetu hakuna uwezekano wa kuuza ila ni kununua tu
Je hawa wemewezaje kwani mfumo wetu uwezi kulipwa je wanatumia mfumo upi kulipwa?
Tunaomba na sisi tuwezeswe kufanya biashara ebay na amazoni
Hahahahaaa... Mkurugenzi! Uko sahihi,Hesabu za wale jamaa wanaitwa motivation speaker
Bila kusahau kuwa Maza mwenyewe alitangaza kuwa nchini Kuna gaidi (aliposema Mbowe ni gaidi)Wewe umatania, eti viewers 100 million, Seriously!! Hata ingekuwa Netflix kupata 100 million viewers in one year siyo rahisi .....!! Kwa akili yako kama hiyo moview ya Maza inaweza kuingiza hiyo pesa then Amazon kwa mwaka wanaingiza kiasi gani kwa maelfu ya movie walizonazo online!!? May next year urudi hapa kutupa marejesho tuone hata kama wamepata 100 K viewers ....!!
Anyway, movie ilikuwa ni ya kutangaza utalii, sasa kama inauzwa then availability yake inakuwa limited kwa kiasi fulani. Binafsi mpaka sasa sioni kama hivyo movie was a good idea ..... Halafu target USA. But time will tell.
Pia akirudi asisahau kuisafisha nchi kuhusu Ugaidi walioipachika nchi yetu ..... maana USA na ugaidi. Tumemsikia Maza alivyodai kuwa nchi yetu ni ya amani sana ..... anasahau kuwa toka ameingia madarakani wamefuta kesi za Magaidi zaidi ya 50 ....!!
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Atakayepinga hilo ana lake jambo, tuweke itikadi za vyama pembeni, wasiouona uzuri wa Mama ni wale waabudu mizimu wa Chato tu.Lazima tukubali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni AKILI KUBWA SANAAAA.....😍
Ila sasa wakati Umefikia,Hii kitu tumeipigia kelele mpaka koo zimekauka, tumeamua kukaa kimya,
Ila sasa wakati Umefikia,
Umetonesha kidonda mkuu, CCM kwa porojo hawajambo.Acheni maigizo hata makinikia mlisema tutapata noah kila mtu mtanzania
Royal tour ni tangazo la utalii tanzaniaHebu fafanua kwenye hii Royal Tour,
Nikweli, ila linaingiza pesa pia,Royal tour ni tangazo la utalii tanzania
Umaonaee! Akitoka akaingia mwingine wanageuka! Wabongo wanafiki sana!Yaleyaleeee ya hakuna kama magufuli!!
Yes, film will be there to stay,
Mpaka watoto wako wataikuta pale,
And they Will also buy,