inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Amazon ni msambazaji,kwa kawaida Hollywood 65% ni ya mwenye movie,yaani mtunzi/creatorNa wewe weka ushahidi kuwa ni yetu
Mkataba na amazon pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amazon ni msambazaji,kwa kawaida Hollywood 65% ni ya mwenye movie,yaani mtunzi/creatorNa wewe weka ushahidi kuwa ni yetu
Mkataba na amazon pia
Mambo ya Ali Nacha.Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Nakazia kwa kusema atuamvie mpaka sasa wameshauza copy ngapi au Wana views ngapi?hao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
Wivu utawachelewesha sana nyie jamaa,Nakazia kwa kusema atuamvie mpaka sasa wameshauza copy ngapi au Wana views ngapi?
Hebu fafanua kwenye hii Royal Tour,Amazon ni msambazaji,kwa kawaida Hollywood 65% ni ya mwenye movie,yaani mtunzi/creator
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Hiyo filamu itakuwa itauzwa kila mwaka? Au hii propaganda imelenga akili ndogo?Hakuna kama Rais Samia nasema siku zote hili,
Yes, film will be there to stay,Hiyo filamu itakuwa itauzwa kila mwaka? Au hii propaganda imelenga akili ndogo?
Kwahiyo Unadhani Umeenda Huko Bure?Tumemuuzia nani lete ushahidi hapa,
Kamuulize lisu kishasema kuna utitiri wapesa nindefu bado wewe waufipa unaendelelea kubisha haya endelea haya ndio mambo yakutafuta pesa sio kuzulumu wavuvi unateka malizao alafu waje wakomboe ndioupate hela mwambieni mpina ajifunze kwa mama huyuHizi hesabu sijui mnatoaga wapi, na kwa akili yako inaonekana Amazon hawapati chochote, FYI 99% ya pesa itabaki Amazon
naungana na wewe mkuu wangu 🙏🙏🙏Kamuulize lisu kishasema kuna utitiri wapesa nindefu bado wewe waufipa unaendelelea kubisha haya endelea haya ndio mambo yakutafuta pesa sio kuzulumu wavuvi unateka malizao alafu waje wakomboe ndioupate hela mwambieni mpina ajifunze kwa mama huyu
Ni documentary sio movie kama za kanumbaRais mzima anacheza movie? hii ni aibu kwa taifa , yaani hata sisi Tanzania yenye watu Mil63 tunakubali vipi Rais wetu anachukuliwa mchana kweupe kwenda nje kucheza movie? , kweli walio sema Tanzania katika watu mil5 basi wenye akili timamu ni wawili au watatu hawa kukosea, na ndo mtaji mkubwa wa watawala wetu.
Umejuaje kuwa ni mali ya Tanzania kwa 100%Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Mkuu hilo nalo unahitaji ushahidi kweli?!Umejuaje kuwa ni mali ya Tanzania kwa 100%
Kama hakuna anayejua gesi ya mtwara ni mali ya Tanzania au la, pia hakuna anayejua kama dhahabu ya Geita ni mali ya Tanzania au la, kivipi unakuja ghafla tu kusema filamu ni mali ya Tanzania?
Wewe ndio msemaji wa serikali?
Nina wasiwasi kwanza tujue gharama zilizotumika pia fahamuni kuwa mrahaba wote ni wa yule aliyetengeneza sisi hatuna chochote zaidi ya mbuga,wanyama na raisi wetu kuonekana kwenye runinga za weupe huko majuu sisi hatuna cha kuonyesha kupita makala za vivutio kwa mfano kutoka misitu ya Amazoni,mbuga ya Kruger,Okavangu au Madagascar, kelele zote za sijui Royal Tour haziingii hata thamani ya makala hata za mbunge kama Trans Mara.Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Sawa ChawaHakuna kama Rais Samia nasema siku zote hili,
Bila shaka linahitaji ushahidi sababu serikali inafanya mikataba kwa usiri.Mkuu hilo nalo unahitaji ushahidi kweli?!
Tumemuuzia nani lete ushahidi hapa,