Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Nakupa mfano. Nchi zilizoendelea kama Marekani, once anapoingia Rais mpya wanashika nafasi za uwaziri chini ya Rais aliyetangulia wanajiuzuru mara moja kumpa nafasi Rais mpya kuteua watu wakeKituko Ni pale unaposema eti aanze nayo yeye, Serikali sio mahali Pa majaribio. Hakuna awamu hata moja ilyoanza yenyewe.
Kikwete kaingiaje hapa?Kikwete ndio kakutuma uje kupost huu upuuzi?
Serikali hii inatakiwa ipitishe katiba mpya ile ya warioba halafu ijiuzulu mara moja uchaguzi uitishwe ili nchi ipate viongozi halali.
Rostam asemeje kama nani?Kwani rostamu anasemaje?
Huu mfano wako unaonesha vile hukielewi hata ulichoakiandika, umemsifia waziri Jamal enzi za Nyerere kwa kuanzisha viwanda sababu alisomea India.Nakupa mfano
Kuna kongamano la Madini. Wamealikwa mawaziri kutoka maeneo mbalimbali wanazungumzia changamoto kwenye kupata teknolojia sahihi kwenye masuala ya miamba. Tunapeleka waziri asiye hata na idea yq miamba kwenye kongamano au majadiliano hayo tutapata kitu?
Au watu wanajadili changamoto za kisheria kwenye masuala ya uwekezaji unampeleka mtu asiyejua hata abc za company law au masuala ya kusafirisha watuhumia mtu hajui hata sheria za kusafirisha watuhumiwa zikoje hapo unategemea kupata nini?
Huwezi kujiongeza? Aliyekusudiwa ni Abdullah Mwinyi ambaye ni mwanasheria. Hussein Mwinyi ni Daktari by professionalHuna akili kabisa! Hussein Mwinyi,atoke kwenye urais hadi kuwa Naibu Waziri?? Huna akili kabisa
Sababu za kwa nini Makamba zimewekwa. Na sababu za Kwa nini Jamal ziliwekwa.Huu mfano wako unaonesha vile hukielewi hata ulichoakiandika, umemsifia waziri Jamal enzi za Nyerere kwa kuanzisha viwanda sababu alisomea India.
Ok, now tuambie, Makamba wakutuletea maendeleo kwenye nishati hiyo sekta ya gas aliisomea wapi? ana elimu ya ngazi gani?
Ndio maana nikakwambia maono ya mtawala ni jambo la msingi zaidi kuwezesha hayo mambo, kama mtawala ni mjinga, basi atamuweka mjinga mwenzake matokeo yake taifa linadumaa tu.
Hiyo mipango mizuri ameitoa wapi? usituletee mahaba kwenye masuala nyeti yanayohusu maendeleo ya taifa.Sababu za kwa nini Makamba zimewekwa. Na sababu za Kwa nini Jamal ziliwekwa.
Makamba has proved kuwa and mipango mizuri so haina shida akiendelea kama wengine waliopendekezwa waendelee
Haha.Huna akili kabisa! Hussein Mwinyi,atoke kwenye urais hadi kuwa Naibu Waziri?? Huna akili kabisa
Ni kipi kitamzuia Samia kutogombea awamu ya pili! Na yupi ndani ya CCM hataweza kuchuwana na Samia?Hujaelewa, KIMEI ni ingizo jipya soon.
Ulichokosea ni utabiri wako Kwa sa100 ambaye hatogombea Awamu ya pili.
Akikujibu nitaggNi kipi kitamzuia Samia kutogombea awamu ya pili! Na yupi ndani ya CCM hataweza kuchuwana na Samia?
Mahaba gani tena?Hiyo mipango mizuri ameitoa wapi? usituletee mahaba kwenye masuala nyeti yanayohusu maendeleo ya taifa.
Kumbe nawe una akili za hawa watawala wetu wa siku hizi halafu unatudanganya kwa elimu ya waziri Jamal.
Lands kama amebugi kwa Nape lakini kwa Gwajima yupo sahihi na kwa Makamba yupo sahihi-but ni mtazamo wangu.Ulupowaweka
Nape, Januari, Gwajima nikaina umebugi kwa mtazamo wangu lakini
Aliunga unga masomo yake but at the end alisomea mambo ya usuluhishi wa migogoro.Hivi January Makamba hanaga proffession?
Maana kwingine kote naona umewataja kwa sifa ikiwemo taaluma, Ila kwa huyu mwamba naona Kama umepata kigugumizi😊😊😊😊😊😊
Kaka Kemei amesaidiwa na ujanja ujanja wa Fedha za Serikali,pamoja na fedha za rushwa za wanasiasa walikuwa wanaweka CRDB.Kama Kimei hafai basi CRDB ingekuwa benki mufilisi sasa
Kama mwanzo umeianza mada yako kwa kusifia elimu ya waziri Jamal wa viwanda enzi za Nyerere ilivyoleta mabadiliko, iweje ghafla utupeleke kwenye "mipango" ya mtu isiyojulikana chanzo chake?Mahaba gani tena?
Mipango ya kuibadilisha jamii ya Watanzania kutoka kutumia nishati ya kuni na mkaa hadi nishati ya gesi we unaionaje? Au unaendeshwa na chuki tu? Huoni suala la uharibifu wa mazingira lilivyo hot issue duniani saivi ?