Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Kituko Ni pale unaposema eti aanze nayo yeye, Serikali sio mahali Pa majaribio. Hakuna awamu hata moja ilyoanza yenyewe.
Nakupa mfano. Nchi zilizoendelea kama Marekani, once anapoingia Rais mpya wanashika nafasi za uwaziri chini ya Rais aliyetangulia wanajiuzuru mara moja kumpa nafasi Rais mpya kuteua watu wake
 
Kikwete ndio kakutuma uje kupost huu upuuzi?

Serikali hii inatakiwa ipitishe katiba mpya ile ya warioba halafu ijiuzulu mara moja uchaguzi uitishwe ili nchi ipate viongozi halali.
 
Kikwete ndio kakutuma uje kupost huu upuuzi?

Serikali hii inatakiwa ipitishe katiba mpya ile ya warioba halafu ijiuzulu mara moja uchaguzi uitishwe ili nchi ipate viongozi halali.
Kikwete kaingiaje hapa?
 
Huna akili kabisa! Hussein Mwinyi,atoke kwenye urais hadi kuwa Naibu Waziri?? Huna akili kabisa
 
Nakupa mfano
Kuna kongamano la Madini. Wamealikwa mawaziri kutoka maeneo mbalimbali wanazungumzia changamoto kwenye kupata teknolojia sahihi kwenye masuala ya miamba. Tunapeleka waziri asiye hata na idea yq miamba kwenye kongamano au majadiliano hayo tutapata kitu?

Au watu wanajadili changamoto za kisheria kwenye masuala ya uwekezaji unampeleka mtu asiyejua hata abc za company law au masuala ya kusafirisha watuhumia mtu hajui hata sheria za kusafirisha watuhumiwa zikoje hapo unategemea kupata nini?
Huu mfano wako unaonesha vile hukielewi hata ulichoakiandika, umemsifia waziri Jamal enzi za Nyerere kwa kuanzisha viwanda sababu alisomea India.

Ok, now tuambie, Makamba wakutuletea maendeleo kwenye nishati, hiyo sekta ya gas aliisomea wapi? ana elimu ya ngazi gani?

Ndio maana nikakwambia maono ya mtawala ni jambo la msingi zaidi kuwezesha hayo mambo, ndio maana nataka Nyerere apongezwe kwa kumteua Jamal.

Kama mtawala ni mjinga, basi atamuweka mjinga mwenzake matokeo yake taifa linadumaa tu.
 
Huna akili kabisa! Hussein Mwinyi,atoke kwenye urais hadi kuwa Naibu Waziri?? Huna akili kabisa
Huwezi kujiongeza? Aliyekusudiwa ni Abdullah Mwinyi ambaye ni mwanasheria. Hussein Mwinyi ni Daktari by professional
 
Huu mfano wako unaonesha vile hukielewi hata ulichoakiandika, umemsifia waziri Jamal enzi za Nyerere kwa kuanzisha viwanda sababu alisomea India.

Ok, now tuambie, Makamba wakutuletea maendeleo kwenye nishati hiyo sekta ya gas aliisomea wapi? ana elimu ya ngazi gani?

Ndio maana nikakwambia maono ya mtawala ni jambo la msingi zaidi kuwezesha hayo mambo, kama mtawala ni mjinga, basi atamuweka mjinga mwenzake matokeo yake taifa linadumaa tu.
Sababu za kwa nini Makamba zimewekwa. Na sababu za Kwa nini Jamal ziliwekwa.

Makamba has proved kuwa and mipango mizuri so haina shida akiendelea kama wengine waliopendekezwa waendelee
 
Sababu za kwa nini Makamba zimewekwa. Na sababu za Kwa nini Jamal ziliwekwa.

Makamba has proved kuwa and mipango mizuri so haina shida akiendelea kama wengine waliopendekezwa waendelee
Hiyo mipango mizuri ameitoa wapi? usituletee mahaba kwenye masuala nyeti yanayohusu maendeleo ya taifa.

Kumbe nawe una akili za hawa watawala wetu wa siku hizi halafu unatudanganya kwa elimu ya waziri Jamal.
 
Hujaelewa, KIMEI ni ingizo jipya soon.

Ulichokosea ni utabiri wako Kwa sa100 ambaye hatogombea Awamu ya pili.
Ni kipi kitamzuia Samia kutogombea awamu ya pili! Na yupi ndani ya CCM hataweza kuchuwana na Samia?
 
Hiyo mipango mizuri ameitoa wapi? usituletee mahaba kwenye masuala nyeti yanayohusu maendeleo ya taifa.

Kumbe nawe una akili za hawa watawala wetu wa siku hizi halafu unatudanganya kwa elimu ya waziri Jamal.
Mahaba gani tena?

Mipango ya kuibadilisha jamii ya Watanzania kutoka kutumia nishati ya kuni na mkaa hadi nishati ya gesi we unaionaje? Au unaendeshwa na chuki tu? Huoni suala la uharibifu wa mazingira lilivyo hot issue duniani saivi ?
 
MToa mada kwa kweli wewe ni nondo sana,umetoa uchambuzi mzuri kwa takwimu na kufuata elimu za wahusika-jambo jema sana.Tatizo ni siasa za Africa ndio shida kwanza wanachagua Mawaziri kwa kuangalia ukanda na Mikoa-sera ya CCM ni angalau kila Mkoa utoe Waziri,jambo linalofifisha creativity.
 
Hivi January Makamba hanaga proffession?
Maana kwingine kote naona umewataja kwa sifa ikiwemo taaluma, Ila kwa huyu mwamba naona Kama umepata kigugumizi😊😊😊😊😊😊
Aliunga unga masomo yake but at the end alisomea mambo ya usuluhishi wa migogoro.
 
Kama Kimei hafai basi CRDB ingekuwa benki mufilisi sasa
Kaka Kemei amesaidiwa na ujanja ujanja wa Fedha za Serikali,pamoja na fedha za rushwa za wanasiasa walikuwa wanaweka CRDB.
Angalia toka Seriakali ya Magufuli ilipopiga marufuku fedha za Serikali mwenye commercial bank-CRDB imekuwa kama saccoss.
 
Kama tupo serious na kumpata Waziri wa Fedha imara na tunatapa mabadiliko Wizara hiyo apewe Hussein Bashe-binafsi yangu ndio huwa namuona huwa yupo serious.
 
Mahaba gani tena?

Mipango ya kuibadilisha jamii ya Watanzania kutoka kutumia nishati ya kuni na mkaa hadi nishati ya gesi we unaionaje? Au unaendeshwa na chuki tu? Huoni suala la uharibifu wa mazingira lilivyo hot issue duniani saivi ?
Kama mwanzo umeianza mada yako kwa kusifia elimu ya waziri Jamal wa viwanda enzi za Nyerere ilivyoleta mabadiliko, iweje ghafla utupeleke kwenye "mipango" ya mtu isiyojulikana chanzo chake?

Haya kama sio mahaba kwako ni kitu gani? nimekuuliza hiyo "mipango" ameisomea wapi, hujajibu, badala yake unasema nina chuki kwasababu nimekuuliza elimu ya Makamba kuhusu gas!

Kwani hayo matumizi ya gas ni Makamba ndio wa kwanza kuanza kuyazungumzia nchi hii? au uharibifu wa mazingira ni nani asiyeujua? au utaenda kwenye vikao na wakubwa huko duniani kuzungumzia gas ukawaambie habari ya uharibifu wa mazingira? grow up dude!.
 
Back
Top Bottom