Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

asante. kwa pamoja tunaweza! tutoe mawazo chanya kwa faida ya taifa letu
 
Uharibifu wa mazingira unajulikana ndiyo ila nani aliwahi kuchukua hatua kama hizi huko nyuma?

Mtu akifanya vizuri apongezwe na akikosea akosolewe
 
Ba
Kama tupo serious na kumpata Waziri wa Fedha imara na tunatapa mabadiliko Wizara hiyo apewe Hussein Bashe-binafsi yangu ndio huwa namuona huwa yupo serious.
Bashe aendelee kutumika kwenye kilimo ili ku transform kilimo chetu kuwa cha Kibiashara. Anahitajika sana pale kuliko wakati wowote ule
 
Kaka Kemei amesaidiwa na ujanja ujanja wa Fedha za Serikali,pamoja na fedha za rushwa za wanasiasa walikuwa wanaweka CRDB.
Angalia toka Seriakali ya Magufuli ilipopiga marufuku fedha za Serikali mwenye commercial bank-CRDB imekuwa kama saccoss.
Hapana unakosea.
Kimei amefanya kazi kuwaondoa Watanzania kutoka kwenye mindset ya NMB na NBC hadi kuanza kuona crdb nayo ni Bank.
Sio hivyo tu. Kimei ameitoa ile Bank kutoka safari hadi kuwa kati ya Bank bora zaidi Afrikq Mashariki na ikawa Bank ya 1 ya kitanzania kufungua tawi nje ya Tanzania walipofungua Burundi.

Tuache unafiki. Kimei kwenye mambo ya fedha na uchumi is among the best.

Magufuli alicripple karibu sekta ya fedha yote sio.CRDB tu.
 
Nilianza kusoma nilivyooona unawataja wale wale nikaanza kupoteza imani nawe, nikaja kupotea kabisa nilivyoona unamkomalia bashe akae pale pale unaendeshwa saana na bla blah za mitandao.... Bashe ni pumba kama wale wengine watatu... Ila ana sound nyingi saaana...

Uwe unawafuatilia kabla ya kuandika... Sera zizikuchanganye... Angalia ground chenye wanafanya
 
Bashe ana pumba na chenga zipi? Embu funguka
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana bro,mwenzako kaja na mawazo ww umempinga tuuu bila kutoa mapendekezo yoyote, really?Come on
 
Ni kipi kitamzuia Samia kutogombea awamu ya pili! Na yupi ndani ya CCM hataweza kuchuwana na Samia?
Urais huo ulikuja Kwa kudra, ni one term thing.

Nenda soma vitabu vya waasisi ingawa nondo zingine Si Rahisi kuzipata maktaba.
 
Ingekuwa hii nchi ina upinzani imara na mahakama huru Nape, Mwigulu na January wangekuwa magereza!
Wamelivuruga sana taifa!
 
Akikujibu nitagg

Urais huo ulikuja Kwa kudra, ni one term thing.

Nenda soma vitabu vya waasisi ingawa nondo zingine Si Rahisi kuzipata maktaba.
Mkuu,
Sina haja ya kusoma kitabu chochote ili kuelewa ni nani atakuwa rais baada ya uchaguzi mkuu wa 2025!

Sikatai kwamba kuna wawili watatu wanaweza kujotokeza ndani ya CCM na kutaka kuchukuwa fomu za urais. Lakini watakuwa ni wale "choka mbaya". Hata tulikuwa hatujui kama bado wapo hai. Dhumuni lao na wao waonekane.

Lakini hakuna hata mmoja kwenye ili Baraza la Mawaziri au ambao amewatema. Hakadhubutu kuchuana na Samia.
Hata usishangae wagombea kupitia upinzani wakagwaya!
 
Duh! Kwamba umependa kupitiliza.

Anyway hata akija mwingine we BADILI GIA angani maana chawa habagui windo.
 
Hapo kwa Tarimba Abassy umekosea sana, labda atabini kubet.
 
Na ugumu wote huu wa maiaha? Sidhani ka watakubali kutema ulaji
 
Hivi January Makamba hanaga proffession?
Maana kwingine kote naona umewataja kwa sifa ikiwemo taaluma, Ila kwa huyu mwamba naona Kama umepata kigugumizi😊😊😊😊😊😊


Sifa ya January ni mshkaji, anajichanganya , mtoto wa mjini na haringi mengine sio muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…