Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuna mapenzi
Tuseme kuna manzi amekukubali kwa sababu una pesa
Je, akija mwenye kibunda zaidi yako akamtongoza akikuacha utalalamika au utakubaliana na msemo
Unaweza nishuri kitu, hapo nifanyejeHapo hakuna mapenzi
Tuseme kuna manzi amekukubali kwa sababu una pesa
Je, akija mwenye kibunda zaidi yako akamtongoza akikuacha utalalamika au utakubaliana na msemo kuwa mapenzi ni pesa?
Usifosi acha wakati utakuletea mtu sahihi kikubwa pambana kujiimarisha kiuchumi, tulipofikia labda ukaishi porini ndio utapata wanawake ambao hawaangalii pesa kama kigezo .Kweli kabisa mi mpka kuna mda naona kwa sisi vijana mapenzi hayatuhusu kabisa mpka tujipate
Kijana pesa kwenye mapenzi ni muhimu ukiona wanapenda sana pesa kuliko uwezo wako achana naoNdugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu
Kupigwa pesa inaendana na yote mawili hapoWashamnyoosha lazima awaite hivyo ila kupigwa hela sometimes n maamuzi au ndio mapenzi upofu?
Unataka manzi wa kupiga na kusepa, wa kuichakata pale unahitaji au wa kufanya naye maisha kabisa?Unaweza nishuri kitu, hapo nifanyeje
Kuwa nae mahusiano seriousUnataka manzi wa kupiga na kusepa, wa kuichakata pale unahitaji au wa kufanya naye maisha kabisa?
Ninachoona kwa sisi vijana mapenz serious tukae nayo kando tu bora kununua, la sivyo utaishia kumfaidisha mtu mwisho anakuacha nawe unabaki pale paleAlafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama amasaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
Janjaruka mkuu haya maisha cha msingi hakikisha unajifurahisha, ukitaka kufurahisha wadangaji (wale wa Public[mfano. Riverside] au Private[mfano. uliyenaye] Sector) wa hapa mjini utaumia mkuu. Focus kwenye mambo yako ya msingiKuwa nae mahusiano serious
Ninachoona kwa sisi vijana mapenz serious tukae nayo kando tu bora kununua, la sivyo utaishia kumfaidisha mtu mwisho anakuacha nawe unabaki pale pale
[emoji3][emoji3][emoji3] kama anataka tuwe wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela kama anataka tufanye biashara ataje bei twende geto tukamalizane baada ya hapo no attachments.Alafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama masaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
Love is for weak people. Don't fall in love you will suffer a lot.Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single[emoji3]
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
ukitumia hisia/moyo utapigwa tuKupigwa pesa inaendana na yote mawili hapo
Kabisandio maana nzima ya uwajibikaji, mwanaume lazima uwe muwajibikaji kuanzia maisha yako binafsi hadi kwenye mahusiano. Nje na hapo unatafsiriwa kuwa unakwepa majukumu yako.
Ina maana hawa wanaotuomba pesa karibia kila siku ni kwamba hatupendwi sio? Sasa kama mtu humpendi kwanini uchukue hela zake na kupoteza mda wake?Mtu unayempenda Kwa dhati kabisa kutoka moyoni ndio unaweza kumvumilia bila Hela...wengine wa kuvuta hisia hapana wanogesh