Mapenzi bila pesa magumu

Mapenzi bila pesa magumu

Hapo hakuna mapenzi

Tuseme kuna manzi amekukubali kwa sababu una pesa

Je, akija mwenye kibunda zaidi yako akamtongoza akikuacha utalalamika au utakubaliana na msemo

Hapo hakuna mapenzi

Tuseme kuna manzi amekukubali kwa sababu una pesa

Je, akija mwenye kibunda zaidi yako akamtongoza akikuacha utalalamika au utakubaliana na msemo kuwa mapenzi ni pesa?
Unaweza nishuri kitu, hapo nifanyeje
 
Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu
Kijana pesa kwenye mapenzi ni muhimu ukiona wanapenda sana pesa kuliko uwezo wako achana nao

Tafuta mtu atakupend wewe kwanza ila japo pesa muhimu kijana

Ushauri vijana kama huna pesa achana na mapenzi wala usiingie kwenye ndoa kama huna pesa utateteseka
 
Alafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama masaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
 
Unataka manzi wa kupiga na kusepa, wa kuichakata pale unahitaji au wa kufanya naye maisha kabisa?
Kuwa nae mahusiano serious
Alafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama amasaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
Ninachoona kwa sisi vijana mapenz serious tukae nayo kando tu bora kununua, la sivyo utaishia kumfaidisha mtu mwisho anakuacha nawe unabaki pale pale
 
Kuwa nae mahusiano serious

Ninachoona kwa sisi vijana mapenz serious tukae nayo kando tu bora kununua, la sivyo utaishia kumfaidisha mtu mwisho anakuacha nawe unabaki pale pale
Janjaruka mkuu haya maisha cha msingi hakikisha unajifurahisha, ukitaka kufurahisha wadangaji (wale wa Public[mfano. Riverside] au Private[mfano. uliyenaye] Sector) wa hapa mjini utaumia mkuu. Focus kwenye mambo yako ya msingi
 
Alafu utamkuta mitandaoni anaponda wadada wanaojiuza kumbe hata yeye anajiuza kwa style tofauti. mimi binafsi ndio maana hupendelea kwenda straight kwenye point kwa kuuliza bei ya kuwa nae kwa usiku mmoja ama masaa kadhaa, baada ya hapo sihitaji mambo ya kuchat chat tena na kuulizana umekula nini, Dunia uwanja wa Fujo
[emoji3][emoji3][emoji3] kama anataka tuwe wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela kama anataka tufanye biashara ataje bei twende geto tukamalizane baada ya hapo no attachments.
 
Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single[emoji3]
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
Love is for weak people. Don't fall in love you will suffer a lot.
 
Mkisema pesa tu pasipo kuwa specific swali lako linakuwa halijakamilika.
Kuna pesa kuwa tajiri na pesa za kawaida kukidhi basics, au kukidhi mahiaji ya msingi.

Kama unataka kuingia kwenye mahusiano minimum requirement hakikisha a least unaweza kukidhi basics zako na mwenzako kama mwanaume. hiko ni kipimo tu ila si jukumu lako kukidhi mahitaji yake unless umependa.
siku zote utamhudumia kuna siku anakwama unamsaidia ndio pint yangu

Nikisema basics namaanisha chakula, mavazi, malazi na mambo madogo mengine.
 
Mtu unayempenda Kwa dhati kabisa kutoka moyoni ndio unaweza kumvumilia bila Hela...wengine wa kuvuta hisia hapana wanogesh
Ina maana hawa wanaotuomba pesa karibia kila siku ni kwamba hatupendwi sio? Sasa kama mtu humpendi kwanini uchukue hela zake na kupoteza mda wake?
 
Back
Top Bottom