Mapenzi bila pesa magumu

Mapenzi bila pesa magumu

Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
Labda wa kwako tu! Mbona wengine wanavumilia tu fresh
 
Tatizo lipo kwako.

Unakosea kutumia pesa kama chambo kwa mwanamke.

Ukijifanya unahela na wao watavutika nazo na watajua unazo hivyo ukiwaambia huna watakushangaa maana waliamini kuwa unazo na muda wowote wakihitaji utawapatia.
 
ndio maana nzima ya uwajibikaji, mwanaume lazima uwe muwajibikaji kuanzia maisha yako binafsi hadi kwenye mahusiano. Nje na hapo unatafsiriwa kuwa unakwepa majukumu yako.
NA hapo yupo mwanamke yupo pekee yake bado hajaongezeka mtoto mmoja au wawili na bado mtu analalamika

Hiki kizazi cha sasa hivi hakina wanaume wanawajibika na wapambanaji
 
Ahsante sana na ndio maana nimeona nije kuomba ushauri humu maana nimenza kustuka kuwa sipendwi
Achana na stori za mitandaon ambako kuna fantasy life
Huko mtaani kuna watu wanakipato chakawaida sana na bado wana mke na watoto na maisha yanaenda sitetei maskini na wenyekipato kidogo hapana jambo la kufahamu unatakiwa upambane
 
Sio pesa tu, kuwajibika kwa mwanaume ndio msingi wa mahusiano au ndoa. Ukishindwa kufanya hicho ujue hayo si mahusiano tena. Mapenzi waachie wenye pesa usije kupata msongo wa mawazo kisa kitu ambacho ukijipata kitakutafuta chenyewe.
Hivi wenye hela mnawajua lakini?.Wenye hela hawana muda na Mapenzi kabisaaaaa,yaani ni watu wanaowaza kukuza na kuulinda utajiri wao.
Wao huwa bize na biashara na michongo ya pesa tu.
Wake zao utamani mizagamuo lakini haipatikani kila mara bali mara chachechache sana.
Mwanaume jikite katika kufanya maendeleo yenye kuonekana na wanawake watakutamani wao wenyewe.
 
We ni tajiri sababu uaongea pumba
Mapenzi yanatesa maskini na matajiri asikudanganye mtu

Tofauti ni kwamba mwenye hela anauhakika wa kupata sex na sio mapenzi
lakin wote kwa nyakati tofauti mapenzi yanawatesa
 
Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
Wote wapo hivyo hivyo mkuu yaani ukiwa huna hela mbususu hawakupi sijui kwa nini lakini wanakuwa wachoyo kwa kitu ambacho wamepewa bure
 
Mtu unayempenda Kwa dhati kabisa kutoka moyoni ndio unaweza kumvumilia bila Hela...wengine wa kuvuta hisia hapana wanogeshe tu penzi
Halafu mkiitwa malaya na kausha damu mnakua wakali. Sasa kama haumpendi kwanini ule hela zake, unashindwa nini kumkatalia tu from the first place? Hivi jamaa akishtukia upo after money na yeye akaamua kukufumua marinda utasema wanaume wabaya?
 
Punguza hasira,,ukiitwa Malaya hauoti upele bro
 
Back
Top Bottom