Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wa kwako tu! Mbona wengine wanavumilia tu freshNdugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
NA hapo yupo mwanamke yupo pekee yake bado hajaongezeka mtoto mmoja au wawili na bado mtu analalamikandio maana nzima ya uwajibikaji, mwanaume lazima uwe muwajibikaji kuanzia maisha yako binafsi hadi kwenye mahusiano. Nje na hapo unatafsiriwa kuwa unakwepa majukumu yako.
Ukiona demu anatanguliza pesa, usipompa pesa ananuna au analeta sababu zisizo za msingi stuka ujue unachapiwa na masela huyo. Demu wa dizaini hiyo kuchapwa ni rahisi sana.Ahsante sana na ndio maana nimeona nije kuomba ushauri humu maana nimenza kustuka kuwa sipendwi
naomba Hii Comment Ipigwe LaminationPesa inogeshe penzi lililosimama tayari, ila zisitumike kumvutia mwanamke aanzishe mapenzi na wewe
Achana na stori za mitandaon ambako kuna fantasy lifeAhsante sana na ndio maana nimeona nije kuomba ushauri humu maana nimenza kustuka kuwa sipendwi
Hivi wenye hela mnawajua lakini?.Wenye hela hawana muda na Mapenzi kabisaaaaa,yaani ni watu wanaowaza kukuza na kuulinda utajiri wao.Sio pesa tu, kuwajibika kwa mwanaume ndio msingi wa mahusiano au ndoa. Ukishindwa kufanya hicho ujue hayo si mahusiano tena. Mapenzi waachie wenye pesa usije kupata msongo wa mawazo kisa kitu ambacho ukijipata kitakutafuta chenyewe.
We ni tajiri sababu uaongea pumbaHivi wenye hela mnawajua lakini?.Wenye hela hawana muda na Mapenzi kabisaaaaa,yaani ni watu wanaowaza kukuza na kuulinda utajiri wao.
Wao huwa bize na biashara na michongo ya pesa tu.
Wake zao utamani mizagamuo lakini haipatikani kila mara bali mara chachechache sana.
Mwanaume jikite katika kufanya maendeleo yenye kuonekana na wanawake watakutamani wao wenyewe.
Mnanogesha tuIna maana hawa wanaotuomba pesa karibia kila siku ni kwamba hatupendwi sio? Sasa kama mtu humpendi kwanini uchukue hela zake na kupoteza mda wake?
Wote wapo hivyo hivyo mkuu yaani ukiwa huna hela mbususu hawakupi sijui kwa nini lakini wanakuwa wachoyo kwa kitu ambacho wamepewa bureNdugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo hivi hivi bila pesa nakuwa sina tofauti na mtu aliye single😀
Sasa nawauliza ni huyu wangu au hata nyinyi mademu zenu ni hivyo hivyo?
Mnapenda tuu ile attention mbwa nyie 🤣🤣🤣🤣Mnanogesha tu
Halafu mkiitwa malaya na kausha damu mnakua wakali. Sasa kama haumpendi kwanini ule hela zake, unashindwa nini kumkatalia tu from the first place? Hivi jamaa akishtukia upo after money na yeye akaamua kukufumua marinda utasema wanaume wabaya?Mtu unayempenda Kwa dhati kabisa kutoka moyoni ndio unaweza kumvumilia bila Hela...wengine wa kuvuta hisia hapana wanogeshe tu penzi
🤣🤣🤣🤣Yaani mkitunyima attention tunachanganyikiwaaaaMnapenda tuu ile attention mbwa nyie 🤣🤣🤣🤣
Punguza hasira,,ukiitwa Malaya hauoti upele broHalafu mkiitwa malaya na kausha damu mnakua wakali. Sasa kama haumpendi kwanini ule hela zake, unashindwa nini kumkatalia tu from the first place? Hivi jamaa akishtukia upo after money na yeye akaamua kukufumua marinda utasema wanaume wabaya?
Kwa nini jamani? Sasa mbona mnatupiga vibomu kama ishu ni attention sii mnapata🤣🤣🤣🤣Yaani mkitunyima attention tunachanganyikiwaaaa
Wanawake wangejua hili wangeshanidaka. Mtu day 1 tu vizinga kibaoPesa inogeshe penzi lililosimama tayari, ila zisitumike kumvutia mwanamke aanzishe mapenzi na wewe