Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa.
Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,
Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri ni wapenzi na kwa huyu msichana na yeye amekiri pia yani imeniuma mno.
Hivi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule. Aisee ndugu zangu sitaki Ushauri wowote,...kwenye mahusiano ishini kijanja cheka sana ila jua tu Leo kwangu kesho kwako usiamini mtu.