Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa.

Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,

Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri ni wapenzi na kwa huyu msichana na yeye amekiri pia yani imeniuma mno.

Hivi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule. Aisee ndugu zangu sitaki Ushauri wowote,...kwenye mahusiano ishini kijanja cheka sana ila jua tu Leo kwangu kesho kwako usiamini mtu.
We umejuaje kama show zako ni bora kuliko za dereva bajaji?
 
Mkuu kwa dunia ya sasa usikubali kupata hasara, demu akishakua msaliti, mshushe cheo kutoka Soul mate mpaka Bed to bed midfielder yan cha kufanya sahv we uwe unajipigia tuu kama malaya, we usimwambie kitu akileta mzigo piga hakuna kukaa kinyonge
 
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa.

Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,

Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri ni wapenzi na kwa huyu msichana na yeye amekiri pia yani imeniuma mno.

Hivi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule. Aisee ndugu zangu sitaki Ushauri wowote,...kwenye mahusiano ishini kijanja cheka sana ila jua tu Leo kwangu kesho kwako usiamini mtu.

Tatizo limeanzia hapa kuwa wewe ni Malaika wa Waha
 
Back
Top Bottom