Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

pole sanq Mkuu, hawa viumbe nibwa hovyo sana na akishakishapata alichokuwa anakihitaji. Alafu wewe ni Muha mroge tu umtie nuksi kila Mwanaume awe anamuona ananuka kama choo
Hapana nimemuacha tu japokuw inauma ila nitapoa ila kwa tabia hii hatopendwa na mtu sikumdhania kabsa yan mpka uchochoroni hata aibu hana imenishangaza sana
 
Nassib Abdul

Mhhhh usiniulize kwanini
Sababu utanizinguaaa
Ukitaka jiunge na mimi
Kama ni pesa we kunywa nitanunua

Mi mwenzio sikuamini
Nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi
Ninaetunza wenzangu wanachukua

Aaah, oooh mapenzi
Mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi ya walionikuta niache niseme jina
Ooh mapenzi, mapenzi yalinifanya katoto
Nilie vibaya na nina mengi yamenikaa moyoni

Leo nataka kulewa (lewa)
Mi nataka kulewa (lewa)
Nataka kulewa (lewa)
Zikipanda nimwage radhi
 
Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa..... amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,

Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri ni wapenzi na kwa huyu msichana na yeye amekiri pia yani imeniuma mnoo,

Ivi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule. Aisee ndugu zangu sitaki Ushauri wowote,...kwenye mahusiano ishini kijanja cheka sana ila jua tu Leo kwangu kesho kwako usiamini mtu.
Akili za kuona changanya na za kufikiri!
Hongera kwa kufikiria kumuacha bila ya kutokea majeruhi baina yako na yake
 
Back
Top Bottom