Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

Akili za kuona changanya na za kufikiri!
Hongera kwa kufikiria kumuacha bila ya kutokea majeruhi baina yako na yake
Hata hizo nguvu za kupiga/kupigana unafkir nilikuwa nazo ndug yangu omba tu yasikukute.
 
Nimeamini hii Dunia tumekuja kuangalia mazingira baada ya hapo tunarudi katika Dunia yetu halisi.

Mtu unaumiaje demu unamuona analiwa mate wakati ulitakiwa ufurahi umepunguziwa mzigo WA mawazo.
 
Back
Top Bottom