Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
uchochoro saa mbili usiku
NakaziaIvi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule.
Eti shoo ya maanaNdugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa..... amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,
Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri ni wapenzi na kwa huyu msichana na yeye amekiri pia yani imeniuma mnoo,
Ivi wanawake mna shida gani yani unaniacha mimi niliyekuw nakupa show ya maana na pesa kidogo unaenda kwa mshenzi yule. Aisee ndugu zangu sitaki Ushauri wowote,...kwenye mahusiano ishini kijanja cheka sana ila jua tu Leo kwangu kesho kwako usiamini mtu.
Sawa leo kwangu kesho kwakoMkiachwa, mnakua washauri wazuri.
We teseka si bado mambo yetu yanaenda fresh.
Huyo Hadi kuliwa alishaliwaKumbe ni mate tu
Asante inauma mkuu yan hapa nguvu sina moyo unauma sanaDuh sijasoma yote ila basi ni mpenzi sio mke pole
Na mimi ndio konda.Dereva bajaji mwenyewe ndio mie hapa , anasema uache uvivu 😂😂😂
Naomba msubiri nicheke title kwanza ndipo nicomment🤣😆Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa..... amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate,