Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

Pole Sana kikubwa uzima mengine anasa tu
 
Kuwa kama mwanaume ungejifanya hujaona alafu unamuacha kimya kimya
 
Tatizo ni kuwa ulijiona malaika huku ukiamini kuwa unaweza ku control Kila kitu🤣🤣

🎸🎷📻🎧Wakati tunakupa ushauri ee!
uliona Sisi watu fitina,
twaingilia mambo yako yako ya ndani,
na kwamba tukuacha kama ulivyo,
sababu wewe bingwa wa maisha,
malaika ee! Malaika!
By
Les wanyiks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…