Malaika wa Waha JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 319 Reaction score 885 Oct 13, 2024 Thread starter #81 KIBINDU said: Akili za kuona changanya na za kufikiri! Hongera kwa kufikiria kumuacha bila ya kutokea majeruhi baina yako na yake Click to expand... Hata hizo nguvu za kupiga/kupigana unafkir nilikuwa nazo ndug yangu omba tu yasikukute.
KIBINDU said: Akili za kuona changanya na za kufikiri! Hongera kwa kufikiria kumuacha bila ya kutokea majeruhi baina yako na yake Click to expand... Hata hizo nguvu za kupiga/kupigana unafkir nilikuwa nazo ndug yangu omba tu yasikukute.
Dalali wa mjini JF-Expert Member Joined Oct 5, 2024 Posts 326 Reaction score 464 Oct 13, 2024 #82 Nimeamini hii Dunia tumekuja kuangalia mazingira baada ya hapo tunarudi katika Dunia yetu halisi. Mtu unaumiaje demu unamuona analiwa mate wakati ulitakiwa ufurahi umepunguziwa mzigo WA mawazo.
Nimeamini hii Dunia tumekuja kuangalia mazingira baada ya hapo tunarudi katika Dunia yetu halisi. Mtu unaumiaje demu unamuona analiwa mate wakati ulitakiwa ufurahi umepunguziwa mzigo WA mawazo.