Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Maneno matupu hayavunji mfupa, pila chapaa! lady gani atakusikiliza, wadada wanavyopenda kutolewa out, zawadi kila wki, maisha ya kwenye movie, umpeleke Lunch au dinner angalau mara3 kwa wki. Hafu eti ujifanye barobaro ilihali huna pochi.

 
Wengine wakupigia cm mnaingia chumbani akimaliza ndio unapata pesa unaliwa kwanza ndio pesa inatoka
 
Ulimwengu wa sasa maarifa yameongezeka sana.ktk kutongoza hakuna kanuni ni ujasiri na utundu wa kumkabiri unaevutiwa nae.

Mfano:
Unaweza kutumia "mzaha". Kuna dada nakuja mbele yako au uko siti moja naye ktk.gari anza kumsalimia huku ukitabasamu.akisita kupokea salamu mwambie kwa mzaha "dada salamu haileti mimba" utashangaa anafunguka kwa mawasiliano.chukua namba then anza kuwasliana nae huku ukitumia ufundi kumjua
 
simple one sikiliza hiii

demu: vipi shafi,
jamaa: safi sana za kwako,
demu; aa sijakuona siku mbili tatu.
jamaa: kwa ivo ukanimisi?
demu: aaah ndio lakini sio sana
jamaa; afadhali usinimis kabisa
demu; kwa nini jamani
jamaa; nikijua unanimisi ntakusumbua
demu: kivipi?
jamaa: yani nikijua unanimisi nitakuwa nataka nikubusu shavu kila siku.
demu: huku anagalagaza macho, mmmh
jamaa: mmh nini mi nshsmu ya kubusu mrembo anayenimisi.
demu: hilo tu sio shida utanibusu mpaka uchoke.
jamaa: asante

mara shavu la demu limebuswa kulia kushoto paji ya uso lips, demu anajipitisha kwa jamaa kila siku ilimradi apete busu.

baada ya hapo unajua kilichofuata
 
kuna ONE NIGHT STAND,haihitaji kuremba wala nini..bt a real rship,kijana u got to work
TRUTH IS hatuko miaka ya zamani ujue,mrembee sana mwanaume uone kama atabaki,HE GOT WAY TOO MANY OPTIONS....ukimdiss wewe wenzako wanamtafuta,bt 30 mins mhhhh??..

Umenikumbusha kitu hapa kuna dada 1 mzuri kwa sura na tabia kwakweli nilionesha nia ya kumtaka naye kweli alijua nia yangu nikajenga ukaribu kimawasiliano na kufanikiwa tatizo nililo kumbana nalo ni kwamba hakuwahi kunikubalia nitumie muda wake kwa kukutana sehemu tuweze kuzungumza kwa undani nami nipate nfasi ya kumfaham zaidi mara zote ratiba yake iliomekana kujaa hasubuhi hadi jioni, j3 mpaka j2, tarehe moja hadi30,nikaona isiwe taabu labda nimemtafsiri vibaya atakuwa yu tayari kwa urafiki wa kawaida tu, nikabadili frekwensi baada ya muda nikapata mtu mwingine taarifa akazipata akapiga cm kuuliza nkamwambia ni kweli akakata cm. Siku 1 nikakutana naye kazini kwake nikakaribishwa kwa masikitiko na lawama juu. niamwomba tukutane akajibu nipange siku na venue siku ya kikao chetu nkamweleza yote na hatua nilochukuwa nikamwahidi kuwa rafiki mwaminifu jambo ambalo alilipokea kwa shingo upande kwani hadi sasa hunilahumu!
 
Hakuna formula ya kutongoza kama hi yo basis tungekuwa tunampata kila mwanamke. Hebu jarb kuweka principle zako hz kuwa Lopez kama ztakuwa applicable
 
Haya makanuni tutaenda hata na magazeti ila kama si wa kukubalika utaishia kumaliza tu soli za viatu wakati kina fulani wasiojua hata miswaki inauzwa bei gani wakijing'olea tu descent girls! Muhimu ni kujiamini bwana,na kuwa wa kiume basi!
 
Utapigwa vibut had ukome. Muombe kukutana nae maeneo utakayokua nae huru tafuta sababu ya kumgusa popote mfn mgongon then msikilizie fanya kama utani. Then sikilizia reaction yake vibut utaviskia kwa wengine tu.
 
Kutongoza hakuna formula silaha pesa na maneno mazuri. We ukimtamani dada kwanza msalimie, muombe samahani kwa kumpotezea wakati, jitambulishe na omba utambulisho wake na mueleze jinsi ulivyopendezewa nae na mwishoe muombe contact zake ili mpange siku ya maongezi zaidi. Ukibahatika kupata contact uchune kama mwezi hivi kumsoma labda akukumbushe. Mpange siku ya kukutana sehemu iliotulia, pawe na vinywaji vya aina zote na vyakula vya aina zote na mtege awe wa kwanza kuagiza. Hiyo itakusaidia kumsoma na kujitengenezea mazingira ya kuuteka moyo wake.

Nasema hivyo kwa 7bu hata mimi nimeweza kumsoma dada mmoja ambae niliwahi kuchukua contact zake bwana wee kila siku anaomba vocha hela za matumizi na huwa nampa ijapo sijawahi kukutana nae kwa mazungumzo zaidi wala kimwili kwa kuwa nimeshamsoma hanifai.
 
Dutongoza hakuna formula ishu mkwanja, lugha mzur na kutokuwa bahr ktk ma2miz hapo dem anang'oka kama mlevi alitoka ucngzn na atanata kama superglue kwenye nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…