Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,542
Basi umeponea chupu chupu ningeletaa
Saaa si ungejiabisha mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi umeponea chupu chupu ningeletaa
Naona unakaribisha kurubuniwa mpendwa
Mi nlikua nshasepa ata sikumbuki kwani kuna mtu alikuchokoza tena?
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
wasichana wengi huwa na mantiki hiyo lakini kiuhalisia tupo vidume tunao watolea nje , kwa sababu ya kutowapenda , kutovutiwa , na kuheshimu hisia ya tunao wapenda
atoto mwenyewe nina wiki moja hatujakutanisha....
Mpendwa umesahau church tunahimizwa upendo..Kumkataa mtu dhambi
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Nkikurubuni lazma uingie laini mpendwaMpendwa naomba uongezee; "...na Mentor ni mmojawao!"
kuna sababu nyingi tu za kumkataa, includes kama hana mvuto, etc. And as for me, MVUTO = inye tetemesha, sura nzuri, na smart mouth. teh teh
wapo wanaokataa ila uliowatokea wewe ni wale wenye matamaa tu
Nachukua fursa hii kusema hakika "Siri ya mtungi aijuae kata"Evelyn Salt hebu njoo umwambie huyu mvulana, ni kitu gani hasa kimekufanya unidondokee namna hii??