Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa

wasichana wengi huwa na mantiki hiyo lakini kiuhalisia tupo vidume tunao watolea nje , kwa sababu ya kutowapenda , kutovutiwa , na kuheshimu hisia ya tunao wapenda
 
Mvuto, tabia...ila chenye nguvu sana mvuto, kuna mwingine hata akijitahid kukutega vip hakuhamasishi, wa nini sasa???
 
wasichana wengi huwa na mantiki hiyo lakini kiuhalisia tupo vidume tunao watolea nje , kwa sababu ya kutowapenda , kutovutiwa , na kuheshimu hisia ya tunao wapenda

Very well said
 
kuna sababu nyingi tu za kumkataa, includes kama hana mvuto, etc. And as for me, MVUTO = inye tetemesha, sura nzuri, na smart mouth. teh teh

Nimejaribu kukupa like kumi but imeshindikana
 
Back
Top Bottom