Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
Kwa maana nyingine mi ndo mtungi, right?Nachukua fursa hii kusema hakika "Siri ya mtungi aijuae kata"
na hapa mie ndio kata mwenyewe
Heheheee kwani wew unavyotokea wasichana wanakubali ni matamaa yanawasumbuaga?
Kuna wanaokataa ila nafight
Khaaaah!! Nakugawa.
duh so we nia yako hasa ni nini hadi unapowatokea wana jf humu ni kuwapima au unakuwa sirius?
Mpendwa umesahau church tunahimizwa upendo..Kumkataa mtu dhambi
Baba kuruthumu upendwa umeuanza lini?
Teh teh..We baki hivyo hivyo tu..Mwenzio nina seat yangu tayari inanisubiri heaven..Sema na we nikufanyie booking kama wataka
Kwa maana nyingine mi ndo mtungi, right?
Hahahaaaa wabaya hao...
Niambie ni nani nimfungukie hamna muda wa kupoteza..
Ni zamu yetu 2015
Kwakweli booking nitafanya mwenyewe, huchelewi kuniuza wewe!