Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 449
- 990
Ukiona mwanaume anakataa ujue ni self determinations kuwa anajua nn ana fanya yawezekana ana mtu wake na alitumia enough time kujenga strong relationship so hawez kukubal uje umharibie kirahis vile japo wanaume weng hawako hvo