Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao..
Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes.
2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single.
3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to her.
4,, Ukimpenda utamsikiliza nae akikupenda atakusikiliza zaidi na kukufuata vile unataka hata kama huwa hapendi njia unazopita.
Upendo ukiisha hatofanya vile unataka hata umpe pesa,, zaidi atazitumia kufanyia yale anayoyataka yule anaempenda kwa wakati huo
5,, Hakuna upendo wa milele kila penzi huisha na kubaki mazoea vioja na vibweka,, sasa muendelezo wa mahusiano hubakia kushikiliwa na kiwango cha ubwege ama ujinga ujinga wenu na uvumilivu wa kuwaonea huruma watoto ama kuwaprove wrong walimwengu.
6,, Mwanaume akishatoka kwenye ile hatua ya ubwege wa mapenzi huwa anachakaa kwanza hadi anaonekana kama kichaa kisha baada ya hapo huanza kujipenda tena kitu ambacho humponza na kujikuta ameanza kusarandiwa na pisikali tena
Kitu ambacho humrudisha kwenye circle ile ile na kumchelewesha kuzifikia ndoto zake.
7,, Ukiwa na focus na maisha yako huwezi kukosa pisi kali maana hizo ndio barrier kwenye njia zako
Sasa zinakuachaje wakati zinakusoma vizuri na kukulenga ili uzibebe nazo ziende nchi ya ahadi.
But ukizibeba ujue huwa zinakuja na furushi la ndugu wanaotaka misaada hawa ni wale utawaona openly
But hidden huwa kuna walamba lips nao wapo DM wanapigwa kampani kupitia haso zako. Jua hili mapema ili ukiamua kuwabeba hao pisi kali ujue kazini kuna kazi pia.
8,, Maisha ya mahusiano yako fair sana, yaani ukimuacha pisikali atalia but atanyamaza kesho atadunda na mwanaume mwingine
Na wewe utapata pisi nyingine iliyotemwa na Dulla kwa ujinga ule ule uliosababisha ukamuacha Aisha.
9,, Usije ukakubali kuwa hakimu wa mahusiano ya mtu yeyote yule.
10,, Ukidate, date na pisi haswa yaani ile ya kwenda. Na ni dhambi kuachana nao bila kuwaachia zawadi yako yaani mtoto.
Hakikisha wanabeba mimba na wanazaa ili wakiwa wanawaona hao watoto wawe wanakuona wewe..
11,, Wanawake ni kama mashamba, yalimeni kwa wingi iwezekanavyo na muhakikishe mbegu zinaota na kumea ili ulie nae ajue kuwa uzuri wake sio fimbo ya kukunyong'onyesha wala kuwa na watoto wako sio silaha ya kukupelekesha.
Kwanza akisikia na kujua kuwa kuna pisi kibao ushapita nazo na zina watoto wako atatulia tu maana anajua akileta ng'we unachoose in between maisha yanaendelea. So mfanye awafikirie wale pisi kali waliopita kuliko kujifikiria yeye. Ni mchezo wa saikolojia tu
12,, Ni marufuku kumwambia pisikali kuwa, kwa uzuri ulio nao najua wengi wanakumendea huko nje.
Hata kama unaona anapigiwa 24/7 we mwambie hivi kama huyu jamaa anaweza kukuoa na kumtunza huyu mwanao mi nasaini out muda wowote, so maamuzi ni yako.
13,, Usiwe kichwa ngumu sana kwenye mapenzi yaani ukiona redflag tu kaa kitaalamu,, Usiwe king'ang'anizi wa pisi kali maana ushakula na ushampa zawadi tayari unataka nini kingine wakati yeye anataka muachane? Utauawa bure.
14,, Usiwe kiherehere wa kulipia mahari mapema. Mpe mimba kwanza mlee mimba azae uhakikishe mtoto ndio uwape kifuta machozi
Na sio vile wanavyotaka wao bali vile unavyoona inafaa wewe..
15,, Dunia imebadilika sana,, usitumie mifumo ya zamani kuishi kwenye dunia ya sasa ambayo imejaa 50/50 na semina za kushupaza midomo kila uchwao.
Kaa kitaalamu sana kumbuka hata kama ungeruhusiwa kumdate mama yako mzazi, nae bado angekuchiti tu na yule msela ambae amekuwa akimchiti nae babaako mpaka kufikia kukupa usia eti mwanangu usiache kumsaidia huyo mzee maana alitusaidia sana kipindi tuna shida hata ulipokuwa ukiugua yeye alikuwa anatoa mchango sana wa wewe kutibiwa..
On point ni kwamba huyo mzee mwenye roho nzuri kama alivyokueleza mama yako ndie kirusi alieingia kwenye tunda la mshua wako. The truth that even the writter can't afford hear... .Samahani sana.
16,, Play the game of love the way you think you can, dont go extra miles to impress anybody apart from you.
No awards at all. Love game, so much f*ck shit done..