Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

Habari za Jumapili wakuu;

Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.

Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.

mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba.

Kipindi hiki ni cha mpito, huhitaji kuvumiliana huku mkiendelea kurekebishana kwa uvumilivu na upendo mkisubiri kipindi cha neema.

Katika utafiti wangu mdogo ni kuwa;

1. Wanawake weupe hawajui kuvumilia kwani huona wana soko kubwa.

2. Wanawake weupe hawapendi kupitia kipindi cha dhiki nakwambia unaachwa mchana kweupe.

3. Wengi wa wanawake weupe uaminifu wao ni mdogo sana wengi huchepuka.

4. Wanawake waupe wanapenda maisha ya juu na mteremko bila kugharamia.

5. Wanawake weupe ndio huongoza kuwa ma singo mama.

6. Kama walivyo weupe ndivyo walivyo wenye makalio makubwa kitabia.

Note: sio wote lakini kwa 90% wanawake weupe na wenye makalio makubwa ni ngumu kutulia katika ndoa.

msemo: katika kila wanaume kumi waliofilisika nyuma yake kuna wanawake 8 walihusika kufilisi.View attachment 2923008View attachment 2923009View attachment 2923011
Kwa kifupi ukiendekeza wanawake hasa hawa wa kizazi cha sasa lazima wakufilisi haijalishi wa aina gani japo wanatofautiana kwenye mizinga.
 
Habari za Jumapili wakuu;

Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.

Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.

mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba.

Kipindi hiki ni cha mpito, huhitaji kuvumiliana huku mkiendelea kurekebishana kwa uvumilivu na upendo mkisubiri kipindi cha neema.

Katika utafiti wangu mdogo ni kuwa;

1. Wanawake weupe hawajui kuvumilia kwani huona wana soko kubwa.

2. Wanawake weupe hawapendi kupitia kipindi cha dhiki nakwambia unaachwa mchana kweupe.

3. Wengi wa wanawake weupe uaminifu wao ni mdogo sana wengi huchepuka.

4. Wanawake waupe wanapenda maisha ya juu na mteremko bila kugharamia.

5. Wanawake weupe ndio huongoza kuwa ma singo mama.

6. Kama walivyo weupe ndivyo walivyo wenye makalio makubwa kitabia.

Note: sio wote lakini kwa 90% wanawake weupe na wenye makalio makubwa ni ngumu kutulia katika ndoa.

msemo: katika kila wanaume kumi waliofilisika nyuma yake kuna wanawake 8 walihusika kufilisi.View attachment 2923008View attachment 2923009View attachment 2923011
Na wenye mwanya
 
Back
Top Bottom