Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

Acha vijana wasome mkuu watoto sio wakuolewa, halafu Cha msingi mapenzi ya Kweli hata kama mmelingana Umri cha msingi mjitambue mnataka kufika wap
Kwa jibu hili,NAKUPA Mia mia.na wewe NI very understanding
 
Wewe hauyajui mapenzi mkuu. Mapenzi hayana umri wala uzoefu.

Tofautisha mapenzi na ngono. Mapenzi yanahusu chemical reactions katika mwili wa mwanamke na mwanaume tofauti na ngono ama tamaa za muda mfupi tu.
 
Hii mada umeongea point halisi wasichana ukipishana naye umri ana rahaa yake ila mwanamke yeyote akifika miaka 30+ ni karaha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…