Mapenzi na masharti vinaendana? Mkishanijibu tu narudi

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,949
Reaction score
5,157
Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
 
Sharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.

Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.

Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kaka🙆

Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
 
My pride can’t penzi letu lingelast 2 good hrs lol😱
 
Tatizo ninalo liona ni wanawake wasasa kujiweka kwenye positions za wanaume kama kutoa maamuzi, kutokutaka kutawaliwa, kutokua watii na kadhalika.
Mwanaume yeyote anaekupenda lazima atakuwekea masharti na lazima wewe kama mwanamke utambue wajibu na mipaka yako.
Kunamzee wangu mmoja hua anasema......
Ebu tuyaache yaende, maana kila mmoja atastuka kwa wakati wake...🤣
 
Shida tunaona ma feminists/activists, yani unamuoa mtu wa kuleta harakati za haki za wanawake na watoto nyumbani.
Hakuna rangi utaacha kuona! 😊
 
Sharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.

Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.

Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kaka🙆

Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
🫣🤣🤣🤣
 
Shida tunaona ma feminists/activists, yani unamuoa mtu wa kuleta harakati za haki za wanawake na watoto nyumbani.
Hakuna rangi utaacha kuona! 😊
Hapana hii haihusiani na harakati. Sisi nibwatu wazima lazima tujue namna ya ku behave kulingana na mazingira. Sio vizuri kumuwekea mtu mzima mwenzio karatasi ya maelekezo inakatisha tamaa sana
 
Tatizo ninalo liona ni wanawake wasasa kujiweka kwenye positions za wanaume kama kutoa maamuzi, kutokutaka kutawaliwa, kutokua watii na kadhalika.
Mwanaume yeyote anaekupenda lazima atakuwekea masharti na lazima wewe kama mwanamke utambue wajibu na mipaka yako.
Kunamzee wangu mmoja hua anasema......
Ebu tuyaache yaende, maana kila mmoja atastuka kwa wakati wake...🤣
Kumbe ni sawa
Basi ngoja nirudi kwa bamtu/ bampenzi nikatulizane
 
Back
Top Bottom