Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Tuishi humo!!Si ndioo.
Tuishi humo!!Si ndioo.
Utumwa mamboleo, ila na wewe hujaelewa anamaanisha masharti ya mpenzie kwake, kama ni masharti yasiyo na boundaries Kwa mwengine basi penzi ni batili.Masharti, mipaka lazima iwepo tofauti na hapo penzi litajiendea kama serikali ya CCM
FOOLISH AGE.Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
Mipaka yenye afya hujengwa kwa maelewano na kuheshimiana.Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
HaswaaaTuishi humo!!