Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Sharti la kwanza na la pili yupo sahihi kabisa,kujali muds ni jambo zuri sana,mbona mtu akienda kazini anajali muda,kwahiyo ni muhimu sana kujali muda wa mwenzioSharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.
Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.
Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kaka🙆
Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
ila hiyo ukimtext unaumwa anajibu shit,hapo namkataa hayupo sahihi