Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Kinachoongelewa kwenye mada, MapenziTukafanyeje?
Kinachoongelewa kwenye mada, MapenziTukafanyeje?
Itakuwa hujaelewa mada! Msijeenda kunilimisha mimi lolKinachoongelewa kwenye mada
Yangu hayana mashartiItakuwa hujaelewa mada! Msijeenda kunilimisha mimi lol
Usiseme hivyoUnataka umcopy?
Hmm hawajitaji hata siku moja!Yangu hayana masharti
Yes,Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
ndio,Eti mshart mahususi 🤣
Hahaha hatareeAaaaaah yule baba alikuwa na masharti utafikiri naomba mkopo🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hapana kwakweli.
kupanga ni kuchagua my lady,Sasa si Bora kuacha tu
Yawe masharti unayoweza kuyabebaYanayotosheleza yasiyozidi ni yapii
Si ndioo.Masharti yawe ya kueleweka yasitweze utu wako na kuharibu ndoto zako..!!