Yapo.na wengi huwa hawajiaminiGuys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
Yapo ukidate na mme wa mtuGuys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
My pride can’t penzi letu lingelast 2 good hrs lol😱Sharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.
Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.
Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kaka🙆
Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
Tatizo ninalo liona ni wanawake wasasa kujiweka kwenye positions za wanaume kama kutoa maamuzi, kutokutaka kutawaliwa, kutokua watii na kadhalika.
Mwanaume yeyote anaekupenda lazima atakuwekea masharti na lazima wewe kama mwanamke utambue wajibu na mipaka yako.
Kunamzee wangu mmoja hua anasema......
Ebu tuyaache yaende, maana kila mmoja atastuka kwa wakati wake...🤣
Mi mvumilivu kwakweli..week Moja nikamwambia hapana tuishie hapaMy pride can’t penzi letu lingelast 2 good hrs lol😱
Ila dada Abigail kwahiyo week mbili ndio nyingi🤣Mi mvumilivu kwakweli..week Moja nikamwambia hapana tuishie hapa
Nyingi sana Kwa mtu kama yule..Ila dada Abigail kwahiyo week mbili ndio nyingi🤣
🫣🤣🤣🤣Sharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.
Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.
Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kaka🙆
Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
Mimi nilikuwaga mvumilivu zamani najifanya komando nasubiri mtu abadilike sikuhizi sekunde chache tu nakuacha solemba!🤭Nyingi sana Kwa mtu kama yule..
Siku mbili tu unasema hapana
Ila mie nadhani mwezi mmoja nlipata kujifunza mengi toka kwake
Hapana hii haihusiani na harakati. Sisi nibwatu wazima lazima tujue namna ya ku behave kulingana na mazingira. Sio vizuri kumuwekea mtu mzima mwenzio karatasi ya maelekezo inakatisha tamaa sanaShida tunaona ma feminists/activists, yani unamuoa mtu wa kuleta harakati za haki za wanawake na watoto nyumbani.
Hakuna rangi utaacha kuona! 😊
Kumbe ni sawaTatizo ninalo liona ni wanawake wasasa kujiweka kwenye positions za wanaume kama kutoa maamuzi, kutokutaka kutawaliwa, kutokua watii na kadhalika.