Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Sharti la kwanza na la pili yupo sahihi kabisa,kujali muds ni jambo zuri sana,mbona mtu akienda kazini anajali muda,kwahiyo ni muhimu sana kujali muda wa mwenzioSharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.
Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.
Nikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kakaπ
Ukimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
DuuuhUkimtext naumwa najiskia vibaya
Anajibu "unajua wanawake nyie ni mashetani wakubwa..Bora mteseke tu!
Nkaja gundua ni ana trauma ya kunyanyaswa na mama wa kambo na pia mwanamke aliempenda sana.
Pole sanaNikamwambia sawa
Kimoymoyo najiambia hapa hapana
Yule kakaπ
Kwa hio ulivyochelewa kufika ukamkuta hayupo?Nkamuuliza mfano nimekwama kwenye foleni nafanyaje
Akanijibu Hilo silijui.hakikisha tu unaheshimu muda.
Na sharti la pili je?Sharti la kwanza:
Usije ukachelewa hata dakika Moja nlipanga miadi nawe,naheshimu muda kuliko chochote,ukichwlewa hata dakika Moja tu naondoka.
Sijawahi kuona pua inalia wala mdomo unalia ila nimewahi kuona macho yanaliaKiufupi masharti ama sheria ni sehemu ya maisha ya binadamu na ndio maana binadamu analia mdomo na sio pua!.
Hakuna alie mkamilifu katika kutenda kwakeSharti la kwanza na la pili yupo sahihi kabisa,kujali muds ni jambo zuri sana,mbona mtu akienda kazini anajali muda,kwahiyo ni muhimu sana kujali muda wa mwenzio
ila hiyo ukimtext unaumwa anajibu shit,hapo namkataa hayupo sahihi
Kwa hiyo bado upo upoMimi nilikuwaga mvumilivu zamani najifanya komando nasubiri mtu abadilike sikuhizi sekunde chache tu nakuacha solemba!π€
Wapi huko we mtoto?Kwa hiyo bado upo upo
Hata sikuonana nae.imagine mtu hata hamjaonana bado Yuko hivyo si najiambia huyu anaweza ninyonga huku najionaKwa hio ulivyochelewa kufika ukamkuta hayupo?
UraianiWapi huko we mtoto?
Nipo nakusubiri wewe malaika mtukufu ππ½Uraiani
Unataka umcopy?Na sharti la pili je?
Twende kwetuNipo nakusubiri wewe malaika mtukufu ππ½
Tukafanyeje?Twende kwetu