Mapenzi na masharti vinaendana? Mkishanijibu tu narudi

Hata kwenye ndege na meli kuna mashart, ukifanya hiv meli itazama au ukifanya vilee ndege itabwagika

So hakuna kisicho na mashart hata pesa ukiwa nazo ukitumia tumia bila misingi zinaisha, si muhimu kuwepo na mashart
 
Yes,
yapo mapenzi ya aina hiyo hasa kwenye mapenzi au ndoa za mikataba au michepuko iliyo kwenye ndoa. Lazima pawepo na masharti mahususi ๐Ÿ’
 
Yes,
yapo mapenzi ya aina hiyo hasa kwenye mapenzi au ndoa za mikataba au michepuko iliyo kwenye ndoa. Lazima pawepo na masharti mahususi ๐Ÿ’
Eti mshart mahususi ๐Ÿคฃ
 
Sasa unadate na dent kwa nini asikupe masharti?
 
Eti mshart mahususi ๐Ÿคฃ
ndio,
huwezi kumpigia simu mchepuko alie kwenye ndoa saa6 usiku.
sharti ni kua akiwa kazini ndio unamuendea hewani na hata michezo yetu ile hufanyika masaa ya kazi
 
ndio,
huwezi kumpigia simu mchepuko alie kwenye ndoa saa6 usiku.
sharti ni kua akiwa kazini ndio unamuendea hewani na hata michezo yetu ile hufanyika masaa ya kazi
Sasa si Bora kuacha tu
 
Aaaaaah yule baba alikuwa na masharti utafikiri naomba mkopo๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
Hapana kwakweli.
Hahaha hataree
Me Nadhani kama niko na mume wa mtu ninajua namna ya kuishi... Nini nifanye nini nisifanye. Sasa mtu anapokuja na waraka wa masharti ana narrate kwa kweli inakuwa haipendezi
 
Sasa si Bora kuacha tu
kupanga ni kuchagua my lady,

ukiishi katika mapenzi yenye masharti kadiri upendavyo ni sawa, lakini pia ukiamua kua katika mapenzi ya kiliberali kanyaga twende bila masharti pia ni sawa tu ila mradi unafurahia uamuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ