Mapenzi na masharti vinaendana? Mkishanijibu tu narudi

Masharti, mipaka lazima iwepo tofauti na hapo penzi litajiendea kama serikali ya CCM
Utumwa mamboleo, ila na wewe hujaelewa anamaanisha masharti ya mpenzie kwake, kama ni masharti yasiyo na boundaries Kwa mwengine basi penzi ni batili.
 
FOOLISH AGE.
 
It depends na how mna match, vipaumbele vyenu. Ila mm naona ni Bora kuwepo na mmoja wa kuongoza na mwingine wa kumsapoti mwenzake sio in a negative way, eti mwanaume akubali kuosheshwa vyombo na mwanamke kufanywa mtumwa.... Lazima kuwe na maelewano, Inakua kama team. Ila Sasa tunajua wenyewe how the ego works. Sijui hata nashauri nn! Mkuu unajijua vizuri Hilo swali ulouliza jibu unalo, unajua mahusiano yako vizuri
 
Mipaka yenye afya hujengwa kwa maelewano na kuheshimiana.

Masharti ya kutawala mtu hujengwa kwa vitisho, hofu, au kumfanya mtu ajisikie hana uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…