Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Ukipata shangazi lenye pesa zake kwanza kuna muda anakupa ushauri wa kimaisha atakuuliza una future gani una malengo gani yaani anakuwa mpenzi na mama ushauri.

Sometime unalidekea kama mama yaani basi akikutabasamia unainjoi kinyama
nililala nae asubuh nikaingia chmbo nikaingiza mil 10,jion nikampelekea laki 5 hakuamini.
 
Wale wanakuwaga washatubu, wengi hawana mambo ya kishwaini tena. Akikutunuku unakula kidude na mipunga anakupa yani unakuwa kama mwanae tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wale ambao wako vizuri na anakuona una brains hadi channel za mipunga anakupa.
Ni raha tupu,harafu mashne haichezewi ovyo,unafaidi kwelikweli.
 
Wale wanakuwaga washatubu, wengi hawana mambo ya kishwaini tena. Akikutunuku unakula kidude na mipunga anakupa yani unakuwa kama mwanae tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wale ambao wako vizuri na anakuona una brains hadi channel za mipunga anakupa.
That's my situation right here...
Hasa hapo kwenye sentence ya mwisho
Sugar Daddies for life...
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni mapromise keeper… hawana mbambamba aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…