Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Ukipata shangazi lenye pesa zake kwanza kuna muda anakupa ushauri wa kimaisha atakuuliza una future gani una malengo gani yaani anakuwa mpenzi na mama ushauri.

Sometime unalidekea kama mama yaani basi akikutabasamia unainjoi kinyama
nililala nae asubuh nikaingia chmbo nikaingiza mil 10,jion nikampelekea laki 5 hakuamini.
 
Wale wanakuwaga washatubu, wengi hawana mambo ya kishwaini tena. Akikutunuku unakula kidude na mipunga anakupa yani unakuwa kama mwanae tu 😀😀😀 wale ambao wako vizuri na anakuona una brains hadi channel za mipunga anakupa.
That's my situation right here...
Hasa hapo kwenye sentence ya mwisho
Sugar Daddies for life...
 
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
🙏🙏🙏
 
Ni mapromise keeper… hawana mbambamba aisee
 
Back
Top Bottom