Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Aahhh nyie msifanye mioyo kua migumu, watajaa huko JF

Kuna Bidada wa Makamo humu Mzuri Haswaa namfukuzia ila hajibu PM zangu kabisaa yaan hajibu, nilishamtumia PM labda zaidi ya 30 hajibuuu.


Namm simkatii tamaa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
That's my situation right here...
Hasa hapo kwenye sentence ya mwisho
Sugar Daddies for life...
Hurrrrrrrrayyyyyy for sugar daddies hurrrrrrrrayyyyyy πŸ˜›πŸ˜œ!πŸ’ͺ
 
Kwahiyo hutaki kijana
Mwenye 6packs
Mtanashati
Mwenye hela
Mwonekano mzurii???
 
ngoja kibao kikugeukieee... utazikumbuka kanda za bongo man na yondo sista
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…