Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
unaanzia umri ganiUjana unaenda mpaka 40+ kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaanzia umri ganiUjana unaenda mpaka 40+ kiongozi
Hurrrrrrrrayyyyyy for sugar daddies hurrrrrrrrayyyyyy 😛😜!💪That's my situation right here...
Hasa hapo kwenye sentence ya mwisho
Sugar Daddies for life...
Eti🤣🤣 ukute na mi Niko banaHao watu wazima wanaanzia miaka mingapi?
Kabisa nafasi zao zi mkono wa kuume moja kwa mojaaaa 🤭!💃💃💃💃💃💃💃💃 👋 tena kwao.
Hawana baya...
Hawa peponi moja kwa moja
Sawa nakuwekea hiv pundeLiweke kwangu mbona ni lisafi 😂
Sawaa mamaSawa nakuwekea hiv punde
MamboiTumeamua kuwastiri na wao...
Haki sawa
Sijasema we n mama.unaweza rejea nlichoandikaMimi Sio mmama mie ni mwanadada Kwa sababu Moja Sina watoto au mtoto nipo single naenjoy hadi yule chibabu aweke Nia yakunioa soon ndio nitakuwa double
Uolewe na huyo babu ili ukalete shida kwenye familia ya watu baadae kama kwa mzee mengi sasa hivi au sio?! 😀😀😀Wangu ashatengeneza maisha ya wanae na mkewe siku nyingi sana. Good thing ni mtalaka...so nitake mimi tu ndoa au kula bilq ndoa
Mwenzako alisemaga hivyohivyo 😅Siwez kuleta shida maana me mwenyewe ni mvuvi wa samaki. So yeye a anionesha tu bahari au ziwa
ngoja kibao kikugeukieee... utazikumbuka kanda za bongo man na yondo sistaSalamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.
5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.
7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.
Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.
Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.