Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Kinachoharibu mahusiano, ni mmoja kumgeuza mwenzake kuwa chuma ulete. Kama wataheshimu hisia, mahusiano yatakuwa mazuri kwa watu wazima na vijana.
Umeahamia huku?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii kitu Africa bado Sana tuendelee kusubiri Karne zijazo....we tafuta hela tu
 
Umeahamia huku?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii kitu Africa bado Sana tuendelee kusubiri Karne zijazo....we tafuta hela tu
Tunatoa mawazo kwa kizazi hiki ili waishi kwa furaha katika mahusiano
 
Tunatoa mawazo kwa kizazi hiki ili waishi kwa furaha katika mahusiano
Kizazi hiki kinasema furaha bila pesa Ni uzushi,ndio maana kila mtu anataka patner aliye economically fit,na hii Ni pande zote mbili japo upande mmoja mmeuvumisha sana
 
Image kuna boya mmoja mpaka kumuona Mama yangu alikuwa ana kataa eti nitaenda kuonana na ex wangu😬😬 bora tulivyo achana😬
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€huyo hana akili wivu wa kijinga
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€huyo hana akili wivu wa kijinga
Yaani Mwanaume alikuwa kama mgonjwa wa akili yaani nikisema leo natoka naenda sehemu huo ogomvi wake muamuzi hakuna
 
Kizazi hiki kinasema furaha bila pesa Ni uzushi,ndio maana kila mtu anataka patner aliye economically fit,na hii Ni pande zote mbili japo upande mmoja mmeuvumisha sana
Anayesikia utamu zaidi huwa ni nani?
 
Hela itatafutwa muda gani
 
Kizazi hiki kinasema furaha bila pesa Ni uzushi,ndio maana kila mtu anataka patner aliye economically fit,na hii Ni pande zote mbili japo upande mmoja mmeuvumisha sana
Kama pesa haipo, inakuwaje?
 
We hapana.

Wakitaka tuwapende na wao waache kukamia. Wawe kama wababa

Vijana wanakamia game mpk ukimaliza unatafuta feni ujipepee? Hatuwatakiii
Hahaha..
Kwani watu wazima wamama wanaopenda vijana wadogo lengo lao nini?
Nilifikiri wanatamani kupigishwa gwaride la kufa mtu ambalo hawapati Kwa wazee wenzao!
 
Reactions: BT2
Huko peponi huwa mnazani ni kwa wahuni wenzenu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…