Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Wangu kanizidi miaka 25,ila ana drama kuzidi slay Queen anaesoma certificate CBE,Msumbufu,mjanja mjanja, hapa ndio naamini kua Age is just a number, itoshe tu kusema nilie nae ni MTU MZIMA KISHETI
😂😂😂
 
Sikia hilii kila mtu condom tumia naye kama umuamini tumia hata mbili Sasa nyie mnadai utakulaje pipi na Ganda lake jazaneni ujinga
 
Back
Top Bottom