Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kila la kheri mkuuNaona unaniongelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimezama haswa hapa liwalo na liwe [emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri mkuuNaona unaniongelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimezama haswa hapa liwalo na liwe [emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
😂😂😂Wangu kanizidi miaka 25,ila ana drama kuzidi slay Queen anaesoma certificate CBE,Msumbufu,mjanja mjanja, hapa ndio naamini kua Age is just a number, itoshe tu kusema nilie nae ni MTU MZIMA KISHETI
Tuliosoma Cuba tumekuelewaKuna mwana ccm mmoja ni ex waziri alinishangaza sana. Yani sixty years plus lakini alikuwa na maajabu ya haja hadi nilishangaa.
Dahh halafu msafiiiiiiiiiiiiiiii
Wana mbwembwe tu haoNakadori utamu wa watoto wa 18-20 huujui. Kaa kimya. Usituletee madimbwi wakati sio kipindi Cha masika.
Wacha weee...!!!Watu wazima mna pepo yenu spesho
Nasikia waananzia umri wowote ule ili mradi tu awe na pesaHao watu wazima wanaanzia miaka mingapi?
Ulinyanduliwa na mtu mzima..!! 😂 😂 😂 na alikuwa wa moto hatariUmeelewa nn sasa heb dadavua
Wa Cuba tupo vizuri🤣🤣🤣🤣🤣😋😋😋😋😋😋😋😋
Maajabu kama yoteee
Yes45 ni watamu sana ila sasa bado bado wana mambo mengi sana
Babu hapana. Nataka kijana shababi tena mwenye mifantasy yake
Mkuu,umejibu kama Hananje,au ni wewee ??Marahaba, ahsante kwa kutusifia, sisi ndio watu wazima dawa, tunaponya.
Kumbe tuliooa hatutakiwi? 🙄 Naishia hapaWe nae kwa utu uzima gann?
Kwanza umeshaoa huku hapakufai.