Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi.
 
Amechoshwa na mabinti

Mpaka huruma 😔😔
Bahili huyo hataki kutuma vocha ndo maana anahangaika na mashangazi...
Ngoja nimpatie mbinu...akiona mwanamama anahangaika na mizigo kwenye shopping ajifanye mwema amsaidie...Akiona mmama au mdada amepata break down ajifanye mwema amsaidie....yani In short awe na sympathy na wamama wale wanaojitambua na wasio na njaa...
Sisi wanawake huwa tunapenda kuhurumiwa sana na mwisho wa siku atatunukiwa na ndo mwanzo wa mambo
 
Bahili huyo hataki kutuma vocha ndo maana anahangaika na mashangazi...
Ngoja nimatie mbinu...akiona mwanamama anahangaika na mizigo kwenye shopping ajifanye mwema amsaidie...Akiona mmama au mdada amepata break down ajifanye mwema amsaidie....yani In short awe na sympathy na wamama wale wanaojitambua na wasio na njaa...
Sisi wanawake huwa tunapenda kuhurumiwa sana na mwisho wa siku atatunukiwa na ndo mwanzo wa mambo
Ngoja nimtag hapa dogo langu la ukweli

Oya Mwachiluwi njoo uchukue maufundi ya kunasa mashangazi wanaojilewa
 
Back
Top Bottom