Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
mkewe ankuzoom tu[emoji1787][emoji1787]He's so lovely yaani. Sio mbaba sana lakini[emoji28][emoji28][emoji28]
Kiufupi married men wanajitambua angalau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkewe ankuzoom tu[emoji1787][emoji1787]He's so lovely yaani. Sio mbaba sana lakini[emoji28][emoji28][emoji28]
Kiufupi married men wanajitambua angalau.
🤣🤣🤣🤣 Hakii Kuna watu wanazeekaga vibaya lol hahahaaa!!Imagine siku unakutana na mzee mwijaku ameshakula chumvi. Atakuwa mzee wa hovyo Sana.
😘😘Naelewa 😁
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
So unamuunga mkono Unique Flower ?Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.
5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.
7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.
Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.
Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Hujambo C?🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sijambo kabisa…habari yako GHujambo C?
❤️🔥🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
G hajambo sanaSijambo kabisa…habari yako G
Ninatafuta lenye moto zaidi ya hilo nimelikosa.nakurudishia hilo hilo❤️🔥❤️🔥
Weka la maji 😅❤️🔥❤️🔥Ninatafuta lenye moto zaidi ya hilo nimelikosa.nakurudishia hilo hilo❤️🔥
Nafurahi sana kusikia Uko mzima wa afya..G hajambo sana
Ninalo liko hapa linamatope vibaya mno.niliweke hivyo hivyo😆😆😆Weka la maji 😅❤️🔥❤️🔥
Khs nnSo unamuunga mkono Unique Flower ?
Naye alifungua uzi ukisifia ...kama weweKhs nn
Mimi Sio mmama mie ni mwanadada Kwa sababu Moja Sina watoto au mtoto nipo single naenjoy hadi yule chibabu aweke Nia yakunioa soon ndio nitakuwa doubleNatangaza nia.
Nahitaji mama mtu mzima anejitambua na asiwe mkali kama rafiki yangu Unique Flower