Khaa unaona sasa! Hivi kwanini mkiguswa pabaya mnakuwaga wakali hivyo jamani?Wewe sasa unakuja kuleta midahaloya "education is better than money" huo ni utoto. Kama hauna experience za mahusiano hebu subiri ukue kidogo uchezewe au ufanikiwe katika mahusiano ndipo uje hapa kujadili na wenzako..... But kwasasa naona unajaribu tu kufanya league, hakuna utakachojifunza kwa hiyo style.
Niliamua kuwa mpole tu maana ukishindana na nguruwe kwenye tope yeye anafurahia wakati wewe unachafuka..... Nikakausha tu aishi maisha anayo ya entertain. But nasfini namuombea mabalaa yote sababu mimi sipendagi unafiki na sijawahi Kuchezea mtoto wa mtu...... So huyu nimemkunjia roho na najua ipo siku yatamkuta ya dunia atanikumbuka mbwa yule....
Nimekutafuta Sana tangu mwanzo wa uzi sijakuona. Ningeshangaa usingetokea. Moyo wangu sasa umetulia wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii topic ya kula kwa jasho umeivalia njuga kweliNi kosa kwa sababu mmeambiwa MTAKULA KWA JASHO LENU! Is that not clear to you?
Si mnatakaga tufuate maandiko ndiyo tumeyafuata sasa! Kwenye haya mambo ndiyo mnajifanyaga mnakumbuka kuwa kuna utandawazi na kwamba dunia imebadilika eti?
Dah, sasa kwani hii mada mbona mnataka kuivuruga, iko wazi! Hakuna mtu aliesema anataka kulelewa ila tunazungumzia kupigana tuff kama sehemu ya mapenzi yenu. Kama vile ambavyo mwanamke anaweza chukuliwa akiwa form 4 akasomeshwa hadi kufikia chuo kikuu basi ndio same ambavyo mke akipata kazi anaweza msaidia mume mambo yanyomuelemea. Hapo kuna kulelewa? Acheni kubaka mada.Extrovert hataki elewa hilo
Hongera sana,Hapo sasa! Wanaume wa kiafrika wanataka kula tu lakini wao hawataki kuliwa!
Huo huo utoto ndiyo ambao wanaume wengi mnaufanya kwenye mahusiano ya sasa! Yaani imagine mtu anakuambia maandiko yanasema mwanaume aliambiwa atamtawala mwanamke hata iweje!Wewe sasa unakuja kuleta midahaloya "education is better than money" huo ni utoto. Kama hauna experience za mahusiano hebu subiri ukue kidogo uchezewe au ufanikiwe katika mahusiano ndipo uje hapa kujadili na wenzako..... But kwasasa naona unajaribu tu kufanya league, hakuna utakachojifunza kwa hiyo style.
Hayo maandiko unayoongelea hapa hayahusiani na mada hii na hali halisi. Hapa tunaangalia Logic hizo story za maandiko waachie akina Gwajima.Oohh kwahiyo kwenye andiko la mwanaume kula kwa jasho ndipo mnapotaka tutumie contingency theory? Ila kwenye andiko la mwanaume kumtawala mwanamke ndiyo tuende kama biblia inavyotaka?
Nipe namba nikwambie kwa kina....unanitakaje?
Mnaongea as if wanaozinguaga kwenye mahusiano ni wanawake tu na kwamba wanaume huwa wako very innocent! Aise hii jinsia kweli iliumbwa kutupa lawama tu!Nsamehe mpenzi ni hasira..... Ndio muwe mnawachana live mkiona wenzenu wanawazingua wanaume zao kwa sababu za kipuuzi, matokeo ndio hivi tukizinguliwa tunakuja kuwa bitter men full of vengeance but its nothing personal. Ni hasira tu....
Hii Tecno Kuna mtoto alikua anaichezeaHii Tecno imekosea kutype au imeibiwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimelock curse upo her..... My soul ime sign vengeance kumuelekea, sijawahi kumwish mtu hell kama yeye.... And i wait for the day....Duuuuuh. Mzee umeacha lakini unasend all wrath from hell?
Sasa si jukumu lako boss? Au la nani?Kama anaweza kujihudumia kwanini umuhudumie?Mwanamke ana hela yake anaenda saluni, anafanya mambo yake akikwama unampiga tafu, nawe ukikwama anakupiga tafu...mimi vizinga huwa sichangii hata kumi, unakuta mtu anajiweza bado anapiga vizinga...
Nimelock curse upo her..... My soul ime sign vengeance kumuelekea, sijawahi kumwish mtu hell kama yeye.... And i wait for the day....
Hata wanaume pia wapo ambao wanatoa bila kujali wanafanyiwa hayo au lah! Whether we decide which is right or wrong is a bit of a question!Ni sawa tu sababu wanawake hamlingani ila wapo wenzio ambao wanatoa bila kujali watapikiwa au lah.