Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Khaa unaona sasa! Hivi kwanini mkiguswa pabaya mnakuwaga wakali hivyo jamani?Wewe sasa unakuja kuleta midahaloya "education is better than money" huo ni utoto. Kama hauna experience za mahusiano hebu subiri ukue kidogo uchezewe au ufanikiwe katika mahusiano ndipo uje hapa kujadili na wenzako..... But kwasasa naona unajaribu tu kufanya league, hakuna utakachojifunza kwa hiyo style.