Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Wewe sasa unakuja kuleta midahaloya "education is better than money" huo ni utoto. Kama hauna experience za mahusiano hebu subiri ukue kidogo uchezewe au ufanikiwe katika mahusiano ndipo uje hapa kujadili na wenzako..... But kwasasa naona unajaribu tu kufanya league, hakuna utakachojifunza kwa hiyo style.
Khaa unaona sasa! Hivi kwanini mkiguswa pabaya mnakuwaga wakali hivyo jamani?
 
Niliamua kuwa mpole tu maana ukishindana na nguruwe kwenye tope yeye anafurahia wakati wewe unachafuka..... Nikakausha tu aishi maisha anayo ya entertain. But nasfini namuombea mabalaa yote sababu mimi sipendagi unafiki na sijawahi Kuchezea mtoto wa mtu...... So huyu nimemkunjia roho na najua ipo siku yatamkuta ya dunia atanikumbuka mbwa yule....

Hapo unayeteseka ni wewe, na utateseka kweli kweli... dua la kuku kwa mwewe ni FUTUHI tu.
 
Ni kosa kwa sababu mmeambiwa MTAKULA KWA JASHO LENU! Is that not clear to you?

Si mnatakaga tufuate maandiko ndiyo tumeyafuata sasa! Kwenye haya mambo ndiyo mnajifanyaga mnakumbuka kuwa kuna utandawazi na kwamba dunia imebadilika eti?
Hii topic ya kula kwa jasho umeivalia njuga kweli
 
Extrovert hataki elewa hilo
Dah, sasa kwani hii mada mbona mnataka kuivuruga, iko wazi! Hakuna mtu aliesema anataka kulelewa ila tunazungumzia kupigana tuff kama sehemu ya mapenzi yenu. Kama vile ambavyo mwanamke anaweza chukuliwa akiwa form 4 akasomeshwa hadi kufikia chuo kikuu basi ndio same ambavyo mke akipata kazi anaweza msaidia mume mambo yanyomuelemea. Hapo kuna kulelewa? Acheni kubaka mada.
 
Wewe sasa unakuja kuleta midahaloya "education is better than money" huo ni utoto. Kama hauna experience za mahusiano hebu subiri ukue kidogo uchezewe au ufanikiwe katika mahusiano ndipo uje hapa kujadili na wenzako..... But kwasasa naona unajaribu tu kufanya league, hakuna utakachojifunza kwa hiyo style.
Huo huo utoto ndiyo ambao wanaume wengi mnaufanya kwenye mahusiano ya sasa! Yaani imagine mtu anakuambia maandiko yanasema mwanaume aliambiwa atamtawala mwanamke hata iweje!

Basi haya ukimleta kwenye maandiko hayo hayo ukamuambia yanasema kuwa mwanaume atakula kwa jasho lake anaanza kuleta kiswahili kirefu oohh sijui kuna kukwama kwenye maisha sijui nini! Sasa kwani muumba alipotamka hayo hakujua kuwa kuna kukwama kwenye maisha au ni nini!
 
Oohh kwahiyo kwenye andiko la mwanaume kula kwa jasho ndipo mnapotaka tutumie contingency theory? Ila kwenye andiko la mwanaume kumtawala mwanamke ndiyo tuende kama biblia inavyotaka?
Hayo maandiko unayoongelea hapa hayahusiani na mada hii na hali halisi. Hapa tunaangalia Logic hizo story za maandiko waachie akina Gwajima.
 
Nsamehe mpenzi ni hasira..... Ndio muwe mnawachana live mkiona wenzenu wanawazingua wanaume zao kwa sababu za kipuuzi, matokeo ndio hivi tukizinguliwa tunakuja kuwa bitter men full of vengeance but its nothing personal. Ni hasira tu....
Mnaongea as if wanaozinguaga kwenye mahusiano ni wanawake tu na kwamba wanaume huwa wako very innocent! Aise hii jinsia kweli iliumbwa kutupa lawama tu!
 
Kama anaweza kujihudumia kwanini umuhudumie?Mwanamke ana hela yake anaenda saluni, anafanya mambo yake akikwama unampiga tafu, nawe ukikwama anakupiga tafu...mimi vizinga huwa sichangii hata kumi, unakuta mtu anajiweza bado anapiga vizinga...
Sasa si jukumu lako boss? Au la nani?
 
Ni sawa tu sababu wanawake hamlingani ila wapo wenzio ambao wanatoa bila kujali watapikiwa au lah.
Hata wanaume pia wapo ambao wanatoa bila kujali wanafanyiwa hayo au lah! Whether we decide which is right or wrong is a bit of a question!
 
Hata wanaume pia wapo ambao wanatoa bila kujali wanafanyiwa hayo au lah! Whether we decide which is right or wrong is a bit of a question!
Yani alimradi ubishane tu 😂😂😂
 
Wanaume tunazidi kupungua, tusipojimilikisha wengi wengi sijui itakuwaje!
 
Back
Top Bottom