figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kama wewe inaonekana muamala ukisoma tu unapiga block π€Hii ikifika Tanzania tumeisha
Mimba itakua inakungojaHii ikifika Tanzania tumeisha
Wanaogopa Mimba kuliko UkimwiMademu wa JF wametatapa baada ya kusoma heading π
Walidhani hii ni ya bonggoπ
Hahaha π€£π€£π€£Kama wewe inaonekana muamala ukisoma tu unapiga block π€
Kwanini mkuu?Hii ikifika Tanzania tumeisha
NdioKama wewe inaonekana muamala ukisoma tu unapiga block π€
N wahangaKwanini mkuu?
Kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu ni kosa la jinai...Hii ikifika Tanzania tumeisha
Wewe ubongo wako una maviKuna hawa @tlatlah ChoiceVariable chiembe Lucas Mwashambwa October 2pm MamaSamia2025 Jabali la Siasa zile buku saba wanazokula siku watakazwa vinyeo pale rumumba kwa kushindwa kumsafisha rostam na mama yao.
Dah,..kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo.
π€£π€£π€£π€£π€£ Naomba tuyamalize wote muda huuJamani ila huyu dada jasiri sana π€£π€£π€£π€£ nisingekubali nipelekwe mahakamani tungeyamaliza nje ya mahakama.
Nisiulizwe ningeyamaliza vipi π€£π€£π€£
πππhowSasa hapo waifu material SI atakuwa nyapara wa jela π